Nini siri ya mshahara kuwahi sana awamu hii ya 6?

Siri ni tozo
 
Inawezekana kuna uandaaji wa ripoti na uwasilishaji kwa fedha iliyosalia, kabla ya tarehe 25; ili kujipanga upya kwa mwezi mwingine. Kwa sababu hata wakichelewa kulipa, fedha zitaonekana ni nyingi, wakati ni deni. Inawezekana ni mkakati waliojiwekea.
 
Tatehe 21 hadi tarehe 21 ni siku ngapi?
 
unaongea vice versal mama anachelewesha ila sema account yako unaona frequency za wasafi fm ukiangalia salio so unataka kujua kama umetoka au laah mpaka 23 au 24
 
Mnapumbazwa ili siku yoyote mkijisikia wanyonge kwa kile mnachopokea muambiwe serikali ipo kwenye mchakato muda mrefu kulifanyia kazi hilo suala ndo maana wameanza kuwalipa mshahara kwa tarehe stahiki.

Mkija kustuka 2024 hii hapa jaramba linapigwa mnamchagua tena then hapo anaanza kuwaonyesha rangi yake halisi.
 
Unatutangazia kwamba umepata mshahara
 
Mshahara unalipwa mapema ili kuhakikisha mfanyakazi amefungwa kisaikolojia ili asiweze kuondoka kazini au kuacha kazi. Kwa kipindi kiref kila mfanyakazi hua anapigia hesabu tareh 30, hivyo akilipwa tarehe 22 automatically akili yake haiko tayari kudeal na hiyo hela mapema, so ataitumia vbaya, by tarehe 30 ashapauka mbaya. So hapo ndoto za tareh 30 ingine znaanza, hana jinsi inabidi akomae tu hadi utoke tena. And the cycle of poverty continues
 
Waulize misukule ya Mwendazake ila jibu la uhakika ni moja tuu,mama anaupiga mwingi.
 
Waulize misukule ya Mwendazake ila jibu la uhakika ni moja tuu,mama anaupiga mwingi.
sio kweli we nawe kufauta mkumbo haujambo magu trh 20 imo kwa wote mama mpaka leo kimya na mwezi wa saba mwaka jana alipelekeka mpaka trh 31
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…