Nini siri ya mshahara kuwahi sana awamu hii ya 6?

Ila ni utumwa sana age yangu 26 mpaka sasa nimekula m500 ya pamoja na kwa siku nilikuwa natumia laki nane ,,,,, poleni sana wafanyakazi Mungu yupo nanyi msichoke amen ila kushika m200 msahau ktk maisha yenu
 
Hivi jamani ukilipwa tar 16 had 16 mwezi mwingine. Na tar 30 hadi 30 ya mwezi mwingine.
Kuna tofauti gani hapo?
Hakuna tofauti Mkurugenzi... Huyu mleta Uzi naona haelewi kabisa Hivi vitu.. Anastaajabisha.... Wala hakuna tofauti.
 
Hii nchi wajinga hawaishi,nakumbuka kampeni za EL 2015 alikua akisisitiza "Elimu,Elimu,Elimu"
Mshahara umetoka Febr 21,mpk March 21 jana ni almost 30 days,kwa idadi ya siku hzo umapema hapo haupo. Tutasema mshahara unawahi ikiwa ulitoka tarehe 21 Febr then mwezi unaofuata (March) ukatoka tar 20 au chini ya hapo.


Maendeleo hayana chama...
 
Hivi unasemaje mshahara umewahi wakati inachukua siku 30 kuingia? Mfano mwezi ulopita uliupata tarehe 22 mwezi unaofuata unaupata tarehe 22 tena, hapo mshahara umewahije?
 
Hili nalo ni la kutangaza JF kweli Mkuu.. watu kama wewe ndio mnatusababishia mfumuko wa bei mtaani huku
 
Hivi jamani ukilipwa tar 16 had 16 mwezi mwingine. Na tar 30 hadi 30 ya mwezi mwingine.
Kuna tofauti gani hapo?
Mletamada analeta propaganda na sifa zisizo na msingi. Mwezi wa mshahara ni ule ule ukianzia tarehe yoyote
 
Hivi jamani ukilipwa tar 16 had 16 mwezi mwingine. Na tar 30 hadi 30 ya mwezi mwingine.
Kuna tofauti gani hapo?
Hiyo magazijuto nimeipenda.
Unakopa maharage,kesho yake unalipa deni nakukopa.ukirudi unajida umelipa deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…