Nini siri ya mshahara kuwahi sana awamu hii ya 6?

Mimi naona mwandishi yupo sahihi
Hivi unajua pesa usipoipata kwa wakati ni sawasawa na hasara!
Ukitaka kuishi tofauti na malengo yako wewe pata pesa baada ya wakati. Ni kipindi ambacho mtu utaona umepata pesa nyingi lakini zinaishia kulipa madeni.
Sasa ukipata mshahara tar 21 ndo umepata kwa wakati?
Ukiutumia huo mshahara hadi tar 31 ukaisha ina maana utapewa mwingine tar 21 hapo ni siku 30 za mwezi. Hakuna tofauti yoyote. Labda kwa vile mmeambiwa msifie kila kitu bila kufikiria basi sifieni kupata hiyo tar 21.
 
Hivi ukiwa unapata mshahara kila tarehe 15 unakuwa unawahi sana ee?
 
Sasa wewe ulitakaje?.
 
aisee jamani ngoja tukale bucket moja ya castle lite nikalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…