Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?


Usimtusi Rais.
 
Usimtusi Rais.
Acha mikwara

Angalia Tinubu kashinda lini uraisi na imechukua muda gani kufanya vetting ya watu anaodhani wanafaa kwenda nae.

Baraza lenyewe la mawaziri imemlazimu kulimalizia mwezi huu sababu inabidi kuwe na serikali kamili (executive government) kutokana ulazima wa Nigeria kuwa na maamuzi ya ku deal na matatizo ya nchi jirani ambayo yanahitaji executive powers.

Wewe unateua makatibu wakuu viongozi (wengine siku moja tu baada ya kula kiapo) na kutengua wengine mbele ya kadamnasi, unabadili wakurugenzi wa usalama kila mwaka; ni ishara tosha Ikulu kuna shida maana hao ndio washauri wakuu wa raisi.

Sasa kama uelewani na hao watu kila mwaka na wengine hata mwaka awamalizi its not rocket science hawakubaliani katika mambo muhimu katika mwelekeo wa taifa; na katika hali kama hiyo siku zote kwa wafahamu wa siasa za nchi zinavyoendeshwa DG wa usalama na katibu mkuu wanakuwa sahihi, yeye ndio tatizo.

Hao watu they were trained for those roles ya kuangalia maslahi ya nchi. Na wamechukua muda mrefu sana wa uzoefu wa kazi kuzingatiwa katika hizo nafasi. Kwa hivyo unapofanya hizo teuzi uheshimu hizo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…