tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Hizo ndizo comments zinazoleta furaha kwenye ndoa mkuu.Kwa uzoefu wangu kwenye hii mijadala wanawake huwa wanapenda sana comment kama hizi.
Halafu kwa uzoefu wangu tena. Kwenye masauala ya mahusiano mwanaume ukiona wanawake wanaunga mkono mawazo yako, ujue una element za simp.