kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,617
- 17,620
Naam mkuuumewaza vizuri,unamchukua mtoto unaenda kupima nae kimya kimya majibu yanatoka kimyakimya unajua jambo kimya kimya unapanga mkakati kimya kimya na siku ya mwisho mleta tatizo anaambiwa kimyakimya pasipo shaka, akibisha sasa unamwambia mkapime,sio baadae mtoto ameshakua mtu mzima baba yake amtake ni kujianda kisaikolojia