Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Wengi hawajui wanaona ujanja, kisa hela au ana wadhifa fulaniKweli mkuu, kumfwatilia demu muda mrefu sana pamoja nakutumia ushawishi/kuhonga sana,hapo unajisukia bomu mbeleni
Wengi hawajui wanaona ujanja, kisa hela au ana wadhifa fulaniKweli mkuu, kumfwatilia demu muda mrefu sana pamoja nakutumia ushawishi/kuhonga sana,hapo unajisukia bomu mbeleni
Total rubbish bro!Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.
Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa
Now, huwezi kulaumu watoto, kosa sio lao, lakini unaweza kumlaumu mwanamke kwa kutokukuambia, labda kwa hofu kuwa ungemuacha, ila miaka imepita umeshatumia ujana wako kuwalea hao watoto, ila kiuhalisia wewe huna chako hapa duniani. Labda ulikuwa unatamani ulete chata yako hapa duniani na umri umeshaenda tayari, mwanamke amekupotezea muda wako mwingi
Sasa kuepuka haya yote, unapaswa kufanyaje?
Watu wanasema oa mwanamke anayejiheshimu, na unayemuamini. Wewe utajuaje kama huyu anaaminika? Unaweza kumuamini 100% kwa sababu anakuigizia kukupenda au huenda ni mtu mwema outside ila ndani yake huwezi kujua. Kuna watu wengi tu waliwaamini wapenzi wao na mwisho wa siku wakaja kuwa cheated, sio kingono tu bali hadi kulea watoto ambao sio wa kwao, huku baba yao halisi yupo somewhere anakula maisha, probably anaendelea kupelekea moto wake za watu
Na pia nikifikiria kama ukitaka kupima DNA kwa kila mtoto atakayezaliwa, mke wako ataanza kuhisi haumuamini, itapunguza kuaminiana kwenye ndoa
Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Fatherhood is socialisationNamnukuu Mwanaume mwenzako highly Prof Palamagamba J.A.M. Kabudi.
....But in many of our Communities here we never bothered too much with issues of biological father, Because fatherhood is social and not biological..
.....Most of us in this house and in tanzania, we are social father were father's to our children because of socialisation Biologically we are not 100% sure .... And we should not trouble ourselves to know whether we're biological father's of kids were taking care of or not" mwisho
You should not trouble yourself by anything brah and embrace the philosophy. fatherhood is social 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanasema usimalize kusema au usiseme ukamaliza uwe na akiba ya maneno na wewe pia unatakiwa uishi kwa akiba ya kumbukumbu ishi ukimjua mkeo kuanzia siku zake za hatari yaan hata siku ambayo yeye anatakiwa kushika mimba uwe unaijua na ikitokea amegawa utamu nje na kushika ujauzito utashtuka tu maana unamfahamu vizuriJe unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Kuna mwanangu alikua na idea km hizo akazamia SA ramani ni kuelekea Europe kakaa SA tangu akiwa kijana mdogo sana miaka 19 karudi akiwa na miaka 40+ kaja bongo kachukua binti wa kibongo kazaa nae sasa hivi anaishi nae hakuna cha mama wa kizungu wala cha mama wa kihindi ukimuuliza anakwambia hakuna sehemu km Afrikapiga shule,tafuta pesa,nenda kaishi ughaibuni, pata mama ya kizungu, oa! Achana na mbanga hizi, za, kiswahili,wanaobambikia Sana watoto na wanawake wa Africa/bongo
Ameen!Namnukuu Mwanaume mwenzako highly Prof Palamagamba J.A.M. Kabudi.
....But in many of our Communities here we never bothered too much with issues of biological father, Because fatherhood is social and not biological..
.....Most of us in this house and in tanzania, we are social father were father's to our children because of socialisation Biologically we are not 100% sure .... And we should not trouble ourselves to know whether we're biological father's of kids were taking care of or not" mwisho
You should not trouble yourself by anything brah and embrace the philosophy. fatherhood is social 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unacheza na sharubu za jamuhuri eeeh🤣Nacheza na mwanangu baada ya kutoka kupima Dieniei.
View attachment 3568422
Msiwe wakaidi jamani.Naam,
Yapo ambayo tunawaelewa hao wazee vizuri tu ila si yote kama hii ya kwenye mada
Punguza bangiWaafrika acheni kuhangaika na mambo yasio na tija karne hii ambapo wenzenu wanahangaika kwenda mwezini, Mars, kutengeneza AI na Robotics
Ongeza za kuvuta ukiwa ChooniPunguza bangi
Hauwahusishi wale wanaoadopt watoto?Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.
Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa
Now, huwezi kulaumu watoto, kosa sio lao, lakini unaweza kumlaumu mwanamke kwa kutokukuambia, labda kwa hofu kuwa ungemuacha, ila miaka imepita umeshatumia ujana wako kuwalea hao watoto, ila kiuhalisia wewe huna chako hapa duniani. Labda ulikuwa unatamani ulete chata yako hapa duniani na umri umeshaenda tayari, mwanamke amekupotezea muda wako mwingi
Sasa kuepuka haya yote, unapaswa kufanyaje?
Watu wanasema oa mwanamke anayejiheshimu, na unayemuamini. Wewe utajuaje kama huyu anaaminika? Unaweza kumuamini 100% kwa sababu anakuigizia kukupenda au huenda ni mtu mwema outside ila ndani yake huwezi kujua. Kuna watu wengi tu waliwaamini wapenzi wao na mwisho wa siku wakaja kuwa cheated, sio kingono tu bali hadi kulea watoto ambao sio wa kwao, huku baba yao halisi yupo somewhere anakula maisha, probably anaendelea kupelekea moto wake za watu
Na pia nikifikiria kama ukitaka kupima DNA kwa kila mtoto atakayezaliwa, mke wako ataanza kuhisi haumuamini, itapunguza kuaminiana kwenye ndoa
Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Sasa mkuu siwezi kuandika kila kitu kwenye kichwa cha habari. Ndio maana nikaandika vyote viwili, kichwa cha habari pamoja na mada. Ukivisoma vyote viwili unapata picha kamili naongelea niniHauwahusishi wale wanaoadopt watoto?
Maana kichwa cha habari kinahusu nini kifanyike kuepuka kulea mtoto asiye wako.
Ndonauliza, wanaoadopt(kuasili) si ni kulea mtoto asiye wako pia?
Dah,Msiwe wakaidi jamani.
Comment hi kutoka kwa jinsia KE ni KAWAIDAKitanda hakizai haramu.
mawazo yako yaheshimiweSerikali ingekuwa na utaratibu anapozaliwa mtoto hospital kabla ya kuruhusiwa vingefanyika vipimo vya DNA bure kabisa,ili wakitoka hapo wawe Safi.
Unajua watu kila siku wanaumiza kwa jambo ambalo linge epukika
umewaza vizuri,unamchukua mtoto unaenda kupima nae kimya kimya majibu yanatoka kimyakimya unajua jambo kimya kimya unapanga mkakati kimya kimya na siku ya mwisho mleta tatizo anaambiwa kimyakimya pasipo shaka, akibisha sasa unamwambia mkapime,sio baadae mtoto ameshakua mtu mzima baba yake amtake ni kujianda kisaikolojiaMe naomba kuuliza
Kwani ukitaka kupima DNA ni lazima na mama ahusike?
Ni gharama sana mkuu.Kupima DNA ingekuwa suluhisho, lakini mchakato wake si wa kitoto maana wewe huruhusiwi kwenda kupima moja kwa moja. Ni lazima maombi ya kupima yafanywe na Mahakama au Ustawi wa jamii. Hapo ndo utakwama!
Sasa mkuu huyo unakua unajua kabisa si wakoHauwahusishi wale wanaoadopt watoto?
Maana kichwa cha habari kinahusu nini kifanyike kuepuka kulea mtoto asiye wako.
Ndonauliza, wanaoadopt(kuasili) si ni kulea mtoto asiye wako pia?
Unafikri mkuu,lilikuwa jambo jema sana kama watu wangepata huduma ya DNA kabla ya mtoto kuruhusiwa,hii tabia ya kuficha ficha ndio inayoturudisha nyuma kila siku.mawazo yako yaheshimiwe