Nini unapaswa kufanya ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako?

Ila huwa mnakosea sana
Hamuwezi kuingiza hayo mambo ya maendeleo ya teknolojia kila sehemu. Sio kila kitu kinahusu maendeleo ya kiteknolojia.
Yeah technology ni kitu kizuri, maendeleo ni mazuri lakini huwezi ukawa unawaza vitu hivyo viwili 24/7. Sometimes kuna mada hata hazihusiani na hayo mambo na sio vibaya kujadili
Mfano hii mada ya ndoa hata sio mada ya kijinga. Ni moja ya vitu ambavyo binadamu wanaweza kujadili, na inahusu maisha ya watu pia
Mkuu, Hakuna ubaya tukikumbushana uhalisia wetu katikati ya mijadala mingine kama hivi.

Ni sawa na kundi la watu lipo msibani likaamua kunywa pombe na kuanza kuongelea wanawake halafu akatokea mtu akawakumbusha kuwa wapo msibani.
 
Basi hata kama kwenda mwezini sio kitu cha maana tujikite kufufua viwanda vya nguo tuache kuvaa mitumba ya Wazungu na nguo za mchina, pamba iko ya kutosha.
Yeah, ni jambo jema
Tunapaswa kufufua viwanda vya nguo. Najua serikali yetu ina mapungufu mengi, najua wananchi wetu wana matatizo mengi, najua nchi yetu ina matatizo mengi sana ya kutatua
Ni kweli, kama taifa tuko nyuma sana na tunapaswa kubadili system, kuongeza competence, kufungua watu kifikra, na kila kitu
Najua nchi yetu ina uzembe mkubwa sana kwenye institutions, naelewa nchi yetu ipo nyuma Kiteknolojia, najua maendeleo yapo chini, infrastructure ni mbovu. Watu wengi tunajua hilo na nina appreciate kuwa unajali kuhusu nchi yako, lakini pia unapaswa kuelewa kuwa sio kila kitu kinahusu maendeleo ya nchi.

Yeah, ni vyema tunapaswa kujadili mambo ya taifa letu vya kutosha nakubaliana na wewe lakini huwezi kuwa unaongelea hivyo vitu 24/7

Sometimes kuna mada kuhusu mambo mengine pia, sio kila kitu ambacho hakihusiani na maendeleo ya Tanzania ni ujinga. Sio kila unapoona watu wanajadili mambo mengine tofauti na maendeleo ya nchi basi hawajali kuhusu nchi yao. Sio kweli, na sio sahihi pia
 
Basi hata kama kwenda mwezini sio kitu cha maana tujikite kufufua viwanda vya nguo tuache kuvaa mitumba ya Wazungu na nguo za mchina, pamba iko ya kutosha.
Au tuangalie uwezekano wa kuboresha uzalishaji wa gesi asilia itumike ndani kama nishati tegemezi.
 
Ila huwa mnakosea sana
Hamuwezi kuingiza hayo mambo ya maendeleo ya teknolojia kila sehemu. Sio kila kitu kinahusu maendeleo ya kiteknolojia.
Yeah technology ni kitu kizuri, maendeleo ni mazuri lakini huwezi ukawa unawaza vitu hivyo viwili 24/7. Sometimes kuna mada hata hazihusiani na hayo mambo na sio vibaya kujadili
Mfano hii mada ya ndoa hata sio mada ya kijinga. Ni moja ya vitu ambavyo binadamu wanaweza kujadili, na inahusu maisha ya watu pia
Mkuu mada ya ndoa sio ya kijinga ila mada yako hapa umeiwakilisha katika hali ya paronia na kama hili ni tatizo tena kubwa la kupewa umuhimu na katika jamii kitu ambacho sio. Yani unasema ukifikiria hili jambo unatishika sana! Ni kama una phobia au uko paranoid tu.
Ningekuelewa kama ungekuwa umepitia hilo jambo au kuna wanaume kadhaa unaowajua waliowahi kupitia hii kadhia.
 
Mkuu, Hakuna ubaya tukikumbushana uhalisia wetu katikati ya mijadala mingine kama hivi.

Ni sawa na kundi la watu lipo msibani likaamua kunywa pombe na kuanza kuongelea wanawake halafu akatokea mtu akawakumbusha kuwa wapo msibani.
Kuna kitu hapa huwa kinanikwaza, hii ya kutaka tujilimit kuhusu mada za kuongelea, tuwe tunaongelea maendeleo na teknolojia pekee
Nchi zilizoendelea kiteknolojia duniani
  • China
  • Marekani
  • Japan
  • South Korea etc
Watu wa nchi hizi wanajadili masuala ya ndoa, wanajadili mambo ya familia, wanajadili kuhusu maisha yao kila siku, wanajadili kuhusu kupata watoto, namna ya kulea na kila kitu. Wala sio robots ambao wanawaza kitu kimoja masaa yote. Watu hawa ukiwakuta wanajadili kuhusu ndoa huwezi kusema wanajadili mambo yasiyo na tija, ni kwamba kuna mada nyingi ambazo binadamu anajadili muda wa maisha yake, na sio za kijinga
Ni majadiliano ya kawaida tu ya kibinadamu, hakuna haja ya kuyatoa maana
 
Kitanda hakizai haramu mkuu🤣
Nacheza na mwanangu baada ya kutoka kupima Dieniei.
20260403_212533.jpg
 
Mkuu mada ya ndoa sio ya kijinga ila mada yako hapa umeiwakilisha katika hali ya paronia na kama hili ni tatizo tena kubwa la kupewa umuhimu na katika jamii kitu ambacho sio. Yani unasema ukifikiria hili jambo unatishika sana! Ni kama una phobia au uko paranoid tu.
Ningekuelewa kama ungekuwa umepitia hilo jambo au kuna wanaume kadhaa unaowajua waliowahi kupitia hii kadhia.
Kuna msanii anatrend anaitwa Nikki kama sikosei, ambaye amekuja kugundua alikuwa analea watoto ambao sio wake. So nimeona habari zake and I felt concerned. Ndio maana nikaanzisha mada hapa
Hizi cases mara nyingi huwa naziona kwenye social media pages za Family Court za Marekani, watu wanalea watoto ambao sio wao, na leo nimeona tena imemkuta msanii nikawa concerned ndio nikaleta mada
Wala sio kwamba napenda kujadili mambo yasiyo na tija, huwa najadili maendeleo pia. Tena thread zangu nyingi zinahusu maendeleo ya Tanzania, lakini haimaanishi siruhusiwi kujadili mambo mengine

Pia Paranoia ni real thing, ungeweza kuaddress paranoia specifically na kutoa hoja yako, ningekuelewa tu. Kuliko kusema wenzetu wanapeleka watu mwezini sisi tunajadili mambo yasiyo na tija, as if tutakuwa tunaongelea kupeleka watu mwezini muda wote
 
Kuna kitu hapa huwa kinanikwaza, hii ya kutaka tujilimit kuhusu mada za kuongelea, tuwe tunaongelea maendeleo na teknolojia pekee
Nchi zilizoendelea kiteknolojia duniani
  • China
  • Marekani
  • Japan
  • South Korea etc
Watu wa nchi hizi wanajadili masuala ya ndoa, wanajadili mambo ya familia, wanajadili kuhusu maisha yao kila siku, wanajadili kuhusu kupata watoto, namna ya kulea na kila kitu. Wala sio robots ambao wanawaza kitu kimoja masaa yote. Watu hawa ukiwakuta wanajadili kuhusu ndoa huwezi kusema wanajadili mambo yasiyo na tija, ni kwamba kuna mada nyingi ambazo binadamu anajadili muda wa maisha yake, na sio za kijinga
Ni majadiliano ya kawaida tu ya kibinadamu, hakuna haja ya kuyatoa maana
Ni sahihi mkuu, ndo maana sikukupinga nikasema it's ok kujadili ila it's ok pia kukumbushana uhalisia wetu.

Yaani wakulima tunapiga soga za siasa halafu anatokea wa kukumbusha kuwa hatujaandaa mashamba tupo nje ya muda, kuna ubaya?
 
Kama mtaalamu wa maabara za afya nashauri tu, njia simple japo sio hakiki sana kama DNA ni group la damu,

Group la damu kama sifa nyingine za kijenetiki mtoto hurithi kwa wazazi wote wawili....
Japo sio rahisi kulielezea ila kwa baba kama una blood group O basi ukaoa mke ana blood group O na watoto wenu wote watakuja kubwa group O tofauti na hapo piga chini, kwa ma group mengine ni ngumu na inahitaji historia pana ya familia na blood group za wazee
 
Semeni yote ila kamwe hamtajua moyo wa mtu unawaza nini na kuamua nn…

Mi naona kuna haja ya mume kuujua mzunguko wa hedhi wa mwanamke, fanyeni vipimo vya uzazi kama mko sawa baada ya kumaliza period safiri nae eneo ambalo mtakua nyie tuu.
Fertile period ya mwanamke haizidi 5days.. Fanya hesabu zako then mtoke out for 3-5days…
Akikucheat na hapa lazma utajua tuu.
 
Namnukuu Mwanaume mwenzako highly Prof Palamagamba J.A.M. Kabudi.
....But in many of our Communities here we never bothered too much with issues of biological father, Because fatherhood is social and not biological..
.....Most of us in this house and in tanzania, we are social father were father's to our children because of socialisation Biologically we are not 100% sure .... And we should not trouble ourselves to know whether we're biological father's of kids were taking care of or not"
mwisho

You should not trouble yourself by anything brah and embrace the philosophy. fatherhood is social 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 Mimi najali, nataka niwe na my own biological children
 
Ni sahihi mkuu, ndo maana sikukupinga nikasema it's ok kujadili ila it's ok pia kukumbushana uhalisia wetu.

Yaani wakulima tunapiga soga za siasa halafu anatokea wa kukumbusha kuwa hatujaandaa mashamba tupo nje ya muda, kuna ubaya?
Hapo sawa mkuu, hakuna ubaya
 
Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.

Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa

Now, huwezi kulaumu watoto, kosa sio lao, lakini unaweza kumlaumu mwanamke kwa kutokukuambia, labda kwa hofu kuwa ungemuacha, ila miaka imepita umeshatumia ujana wako kuwalea hao watoto, ila kiuhalisia wewe huna chako hapa duniani. Labda ulikuwa unatamani ulete chata yako hapa duniani na umri umeshaenda tayari, mwanamke amekupotezea muda wako mwingi

Sasa kuepuka haya yote, unapaswa kufanyaje?
Watu wanasema oa mwanamke anayejiheshimu, na unayemuamini. Wewe utajuaje kama huyu anaaminika? Unaweza kumuamini 100% kwa sababu anakuigizia kukupenda au huenda ni mtu mwema outside ila ndani yake huwezi kujua. Kuna watu wengi tu waliwaamini wapenzi wao na mwisho wa siku wakaja kuwa cheated, sio kingono tu bali hadi kulea watoto ambao sio wa kwao, huku baba yao halisi yupo somewhere anakula maisha, probably anaendelea kupelekea moto wake za watu

Na pia nikifikiria kama ukitaka kupima DNA kwa kila mtoto atakayezaliwa, mke wako ataanza kuhisi haumuamini, itapunguza kuaminiana kwenye ndoa

Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Kwa hiyo leo singo maza wamepumzishwa wameingiliwa mabikira wanaochepuka? Lakini na wewe kwa nini mkeo achepuke akuzalie nje ya ndoa?
 
Sisi ukoo wetu una damu kali sana, mimi kama mtoto sio wangu ntafahamu kwa sura yake tu, wala sihitaji DNA
 
Ukishakuwa na hofu hii umeshafeli pakubwa zaidi maishani.

Kimsingi unaangalia ulipoangukia badala ya kuangalia ulipojikwaa.
 
Back
Top Bottom