Nini unapaswa kufanya ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako?

Nini unapaswa kufanya ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako?

Remember the only shimo a man enters himself ni kaburi tu na kwa hili hata iweje huwezi kuepuka nalo hapo wewe jifanye kama hamna lililotokea usubirie mda ufike ufe. Pili hata kama mkeo kachepuka hadi kukuletea watoto wewe hapo huna kosa. Na kwanza kuja ifike upime dna ukiwa umezeeka hizo nguvu umezitoa wapi. Mambo mengne kanyagia chini. Kwa upande mwingne ntasema wale wanaume wanaoua wake zao kwa makosa hayo inafaa wapewe ulinzi na sio kukamatwa. Ila bas tu. Ngoja nimalizie konyagi yangu nakuja.
 
Sema ni ujinga tu wa watu wengine. Lakini kiuhalisia, mtoto wako ukimtizama vizuri, kama ni wako kweli anaonekana na ni lazima utafahamu. Huwa kuna kuwepo ufanano fulani hivi wa kwako mwenyewe au wa kizazi cha huko kwenu.

Hakunaga hata haja ya kujisumbua kwenda kupima DNA.
 
Waafrika acheni kuhangaika na mambo yasio na tija karne hii ambapo wenzenu wanahangaika kwenda mwezini, Mars, kutengeneza AI na Robotics
Labda kama unafuatilia sana maswala ya kisayansi. Ila US kuna vuguvugu la sheria ya Mandatory DNA test, yaani mtoto akizaliwa baba kabla ya kusaini cheti za kuzaliwa ,wanatakiwa wacheki DNA kama mtoto ni wa kwakwe. Hii mijadala ipo kwenye Podcasts nyingi za maswala ya kijamii, vipindi vya televison wanalizungumzia sana,hili tatizo la dunia nzima.
 
Sawa kutombewa ni kawaida
Lakini kulea watoto ambao sio wako miaka yote na kumbe hujawahi kuwa na mtoto duniani hapa, sio jambo la kawaida
Shukuru kwa hata hicho kidogo na vikubwa utaongezewa.
 
Waafrika acheni kuhangaika na mambo yasio na tija karne hii ambapo wenzenu wanahangaika kwenda mwezini, Mars, kutengeneza AI na Robotics
Anaetaka uthibitisho kwamba analea mtoto ambae ni wa kwake, athibitishe. Anaetaka kwenda mars, aende.
 
Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.

Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa

Now, huwezi kulaumu watoto, kosa sio lao, lakini unaweza kumlaumu mwanamke kwa kutokukuambia, labda kwa hofu kuwa ungemuacha, ila miaka imepita umeshatumia ujana wako kuwalea hao watoto, ila kiuhalisia wewe huna chako hapa duniani. Labda ulikuwa unatamani ulete chata yako hapa duniani na umri umeshaenda tayari, mwanamke amekupotezea muda wako mwingi

Sasa kuepuka haya yote, unapaswa kufanyaje?
Watu wanasema oa mwanamke anayejiheshimu, na unayemuamini. Wewe utajuaje kama huyu anaaminika? Unaweza kumuamini 100% kwa sababu anakuigizia kukupenda au huenda ni mtu mwema outside ila ndani yake huwezi kujua. Kuna watu wengi tu waliwaamini wapenzi wao na mwisho wa siku wakaja kuwa cheated, sio kingono tu bali hadi kulea watoto ambao sio wa kwao, huku baba yao halisi yupo somewhere anakula maisha, probably anaendelea kupelekea moto wake za watu

Na pia nikifikiria kama ukitaka kupima DNA kwa kila mtoto atakayezaliwa, mke wako ataanza kuhisi haumuamini, itapunguza kuaminiana kwenye ndoa

Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako, suluhisho ni moja tu. Unapswa kuwachukulia watoto wote wa mke wako kama watoto wako, bila kujali kama huenda alizalishwa nje ya ndoa au la. Ukifanya hivyo, utaishi kwa amani na raha sana hapa duniani mkuu.
 
Ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako, suluhisho ni moja tu. Unapswa kuwachukulia watoto wote wa mke wako kama watoto wako, bila kujali kama huenda alizalishwa nje ya ndoa au la. Ukifanya hivyo, utaishi kwa amani na raha sana hapa duniani mkuu.
Kwa uzoefu wangu kwenye hii mijadala wanawake huwa wanapenda sana comment kama hizi.

Halafu kwa uzoefu wangu tena. Kwenye masauala ya mahusiano mwanaume ukiona wanawake wanaunga mkono mawazo yako, ujue una element za simp.
 
Back
Top Bottom