Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
- Thread starter
- #21
Ila Waswahili wana mambo ya ajabu. Yani mwanaume anafanya kazi kutafuta hela kulea watoto ambao sio wake, anakuja kugundua unamwambia Kitanda hakizai haramuNi msemo ambao uliyungwa na waswahili kuficha hiyo haibu but hauna impact kwneye ndoa
Huwez mzuia mtu kubeba mimba ya nje but unaweza kuzuia kuishi na huyo mtu
Watu always wanatafuta njia ya ku justify upuuzi