Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

Why tunashambuliwa. Ila nimeamini humu watu hutoa story za vijiweni na kujifanya wanajua hiko kitu haswa. Tena ni walewale kila uzi 🤣🤣🤣🤣 Kama huu uzi unasoma, unabaki unacheka tu.

Nimekumiss mtani, tunapishana sana. Usituchukie watani zako. Tuko Romatic sana basi tushapewa sifa mbaya zote. Ila wanaojua wanajua tulivyo.
 
Mara alfu 10 uoe mkulwa kuliko malaya mashetani wajita. Hao umalaya na kugawa mbususu ndio salamu yao
 
Wakurya hua wanakua na hasira za kipuuzi sana alafu ni washamba kupindukia

Kuna jamaa ni mkurya akiwa na hasira ni mpaka anatetemeka.
Waache huu ujinga utawagharimu
Hata Mimi boyfriend hivo hivo hasira Kali Hadi anatetemeka na kuunguruma
 
Ndugu yangu uongo ama hearsay vinaweza kuifanya nia yako njema ya kuuhabarisha umma igeuke chuki.

Huyu daktari alikuwa anaishi kituo cha kazi na muda wa tukio ni kati ya saa 4_5 usiku (sio saa nane kama ulivyoandika na eneo la tukio ni zaidi ya 2km kutoka kituo cha kazi). Dk alikuwa ameshamaliza majukumu yake ya kikazi. Ilikuwa hivi

Yeye ni mtu alipenda sana kupata kiburudisho baada ya kazi za siku nzima. Aliondoka kwenda sehemu ya starehe na baadaye kutakaahamie eneo jingine (ambapo alizoea kwenda kula chakula usiku mnene). Sehemu aliyofanyiwa tukio ni eneo korofi ambalo hata wenyeji wanaliogopa japo kwa siku za karibuni matukio yalikoma. Ndipo alikutana na wahalifu wakamuua. Pia hakukatwakatwa (randomly) bali alipigwa n vinondo na majeraha ya panga (japo hadi sasa haijathibitika kama ni panga kweli) yalikuwa madogo kiasi kwamba hata wakati wa kuuaga mwili haikuwa rahisi kuyaona ingawa yalikuwa upande wa masikio (kila upande jeraha moja).

Katika taarifa yako unasema aliibiwa pikipiki jambo ambalo sio kweli. Pikipiki ilikuwa eneo la tukio ingawa wahalifu waliondoka na funguo. Pia pikipiki haikuwa mali ya daktari bali mali ya serikli (DFP). Naomba niisie hapa kwani yaliyosalia hayana umuhimu kuandikwa hapa ili kutoharibu kazi ya uchunguzi kwani ni masuala binafsi ambayo yanapaswa kusemwa na mamlaka au familia.
 
Kama wake zao wanajipendekeza wenyewe acha wapigwe tu

Waume zao wana hasira hasira za kuua hawajui ku care,acha wageni wawatafune
Basi wageni wanapouawa msikimbilie kulaumu kabila zima.

Ni wangapi humu ambao huwa wanafika hadi hatua ya kusema mwanaume akikutwa na mke wa mtu aingiliwe kinyume na maumbile ili iwe fundisho? Wivu walio nao wa makabila mengine, na wakurya wanao vilevile. Itoshe kusema mauaji yapo kila sehemu duniani ambako hata wakurya hawajawahi kufika, mfano south Africa watu wanauanakila uchao, ni kwasababu wakurya ni washamba ama wana hasira sana? South Africa wanaishi wakurya?
 
Mdau mmoja kasema wamepewa picha tu wamemalizia mazima. Hata pikipiki yenyewe haikuibiwa.
 
Habari za wizi nani kazileta mbona zinakuwa nyingi?
 
Mkuu huu ndo ukweli halisi ambao wengi hawaujui.

Na mimi nimepata fursa ya kufatilia hii habari kwa kina kutoka kwa source ya ndani kabisa. Kama ulivyosema ni busara zaidi kutozungumza mambo mengine ni Personal.

Tangulia ndugu yetu, tutaonana badae.
 

Attachments

  • IMG-20230506-WA0024.jpg
    111.9 KB · Views: 1
Bila shaka mimi na wewe ni miongoni mwa tuliosikia bila kushuhudia tukio.

Kwa kawaida kila mmoja wetu pindi akisikia tukio, huhadithia jinsi alivyosikia, mimi nimegusia jinsi nilivyosikia kutoka kwenye vyanzo vyangu na wewe pia umegusia kutoka kwenye vyanzo vyako vilivyokuhabarisha. Wachache ndio wenye taarifa za ukweli ila halaiki ikiwemo mimi na wewe hatuwezi kuwa na taarifa sahihi.

Kama uchunguzi wa haki utafanyika basi utasahihisha hizi habari zetu tulizonazo.

Niliwahi kufanya kazi naye kabla hajaenda huko Tarime na rafiki zake wa karibu na wengine wamehudhuria hadi mazishi yake, ndio wanatuhabarisha hivi.

Kuhusu ukweli basi tusubiri kama mamlaka watakuja na ripoti ya uchunguzi kutuweka sawa.
 
Little head
 

Attachments

  • 6967ac2cef1d47288199659588e1aa5c_54647453_720878236352098_7533083804999570987_n.mp4
    3.8 MB
Mimi ni miongoni mwa walioshuhudia tukio na hata kuaga mwili mkuu. Hata ukitaka proof ya picha za maeneo ya tukio utapata. Nina uhakika 100% na hiki nilichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…