Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kuna ambao ni wazuri we acha. Mfano unawaonaje Ester Matiko na Ester Bulaya?Wanawake wa kikurya nawaonaga ngoma ngumu sana
Na huwa nashangaa zaid ninaposikia habar za mgen kuchukua wake za watu huko ukurian
Huenda mambo ya wanawakeIt is very painful
Daktari Kituo cha Afya Nyangoto auawa kikatili
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyang’oto kilichopo Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini, Dk Isack Sima ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati akitoka kituo chake cha kazi...www.mwananchi.co.tz
Mkuu,Mkuu huu ndo ukweli halisi ambao wengi hawaujui.
Na mimi nimepata fursa ya kufatilia hii habari kwa kina kutoka kwa source ya ndani kabisa. Kama ulivyosema ni busara zaidi kutozungumza mambo mengine ni Personal.
Tangulia ndugu yetu, tutaonana badae.
Acheni kujifanya mnajua kua na hasira hasira za kipuuzi wajinga nyie,staarabikeni!..Mjinga Baba ako
Huyo E.Matiko sijui muonekano wake ila Bulaya hapanaKuna ambao ni wazuri we acha. Mfano unawaonaje Ester Matiko na Ester Bulaya?
Kuna mmoja wetu humu katoa ushuhuda lkn anasisitiza lazima awe chotaraUmekaririshwa vibaya. Na huwajui wakurya itakuwa. Kila kabila ina wale watu wako kijijini na hali fulani. Ila pia kuna visu balaa, uliza waliokuwa na wakurya wakuambie.
Mirembe isingejengwa dodomaMkoa wa Mara??? Huo unajulikana kwa kutoa vichaa. Hawana akili sawasawa, muda wote wao ni kupigana. Machizi
Mazishi yamefanyika singida siku ya jana.Mkuu,
Mazishi yalifanyika wapi?
Hebu weka picha zao tuone wanafananaje
Mletee utani uoneHebu weka picha zao tuone wanafananaje
Wanawake wa kikuriya walio olewa hawakataagi wanapo tongozwa ingawa wanajua kuwa wakifumwa na waume zao watauawa au kukatwa viungo malaya kama nini pamoja na kukeketwa kwaoWanawake wa kikurya nawaonaga ngoma ngumu sana
Na huwa nashangaa zaid ninaposikia habar za mgen kuchukua wake za watu huko ukurian
Wakuriya wana wivu sana sana kupitiliza akimkuta mke wake anasalimiana na mtu pangaZamani sio siku hizi ni poa
Mkuriya kuua kwake ni ushujaaKule Nyamongo Kuna migodi imebeba watu wa kabila zote. Kwanini unadhani wakurya ndio wamemuua.
Nakuelewa, sana...kuna jamaa mmoja ni Msomi kabisa na anaishi DSM ni Mkurya, yaani mambo yake anavyoyapeleka utasema hajasomaNilikuwa na baby mkurya aisee ana hasira jambo dogo anaanza kuunguruma kama Simba na hivi wamelelewa kuona mwanamke si kitu ilikuwa hatari aisee I have to let go huyo kukuua ni dakika sifuri
Wakuriya bange wanavuta sana na gongo unawatuma kuwa na wivu wa kishamba pia wake zao malaya sana waume zao wanawapiga sana mpaka kuwakata viungo lakini hawasikiagi malaya sanaMbon wengi wa mikoa mingine tunatahiriwa kwa kisu tena bila ganzi na hatuna hayo maroho maovu, ?
Mikoa gani?Mbon wengi wa mikoa mingine tunatahiriwa kwa kisu tena bila ganzi na hatuna hayo maroho maovu, ?
Anayekula mke wa mtu/mume wa mtu kifo cha aibu hakikwepeki kwake.Nyamongo waliwahi muua mzungu mmoja hivi mlafi wa wake za watu
Vijana wa kikuriya washamba wakiona uchukua mademu tena ambao hawajaolewa machengo doa lazima wakukate na panga tuNdio Sasa ka huyo daktari ukute wanawake walikuwa Wana mshobokea wanaume wakikurya wakaona wivu solution ikawa kumuua kikatili