Ninyi Wenzangu mnakutana na wachumba maeneo gani?

Wakuu wa MMU habari za sasa,

Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.

Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.

Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.

Umri wangu ni 26.
Miliki hela kupitia ajira nzuri, au ofisi ya maana! Mfano duka kubwa hapo mtaani kwako. Halafu njoo unipe mrejesho. Kinyume na hapo utaishia tu kulialia.

Yaani unaishi geto, huna mchongo! Usikute bado unawategemea wazazi! Halafu unataka mchumba! Kwani unadhani hao wanawake ni vipofu kiasi hicho mpaka waje kujipitisha kwa kijana ambaye huna future?
 
Kama una kipato kidogo jaribu kulifanya hilo suala serious kidogo, tenga bajeti kwaajiri ya hilo jambo.

Stand ndio sehemu yenye type zote za wanawake jaribu kwenda kilasiku stand asubuhi ndani ya muda uleule utamng'amua mmoja tu kulanae sahani moja.

Toka mida ya jioni saa 11 tembea tembea ukiona type yako ivae bila aibu, ukitanya hivyo Consistent ndani ya Week hutakuwa single tena.

Mikuna mmoja nishamnoti stand sasa ndio mission yangu deadline Week tu lazima nimuingie.
 
Wazee wa operation
 
Wakuu wa MMU habari za sasa,

Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.

Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.

Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.

Umri wangu ni 26.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu wa MMU habari za sasa,

Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.

Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.

Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.

Umri wangu ni 26.
Kama lengo ni kupata mchumba anza na hao wanafunzi maana muda si mrefu watamaliza shule
 
Kwanza unachotakiwa kufahamu,
Hakuna mwanamke anapenda kupotezeana Muda na STRANGERS.

Unachotakiwa kufanya,
1. Tengeneza jina lako.
"BRAND YOURSELF" wakujue wee Ni Nani.

Kisha Watakuja TU wenyewe[emoji4]

Wasipokuja,wee wafate mwenyewe
Japokua kwenye huu mchakato, pesa Ni muhimu Japokua sio Lazima Sana.[emoji4]
 
Wakuu wa MMU habari za sasa,

Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.

Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.

Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.

Umri wangu ni 26.
Kosa kubwa unalofanya ni kutafuta mchumba kama unatafuta kazi. Ishi utakutana nae mbele kwa mbele. Mimi nilikutana nae kwenye daladala.
 
Unakosa mwanamke sababu unajiandaa kuapproach in perfectly way wakati mwenzio another guy has walked straight up to her and start approaching. Take action mzee, you're the man be responsible, billions women around the world wewe unakosaje?
 
Kumbe na nyie hiyo hali inawapataga

Kwanini sasa mnakuaga na viburi na kusema kirahisi nimempiga chin
Kumbe joto la jiwe linakuaga kali kiasi hiko[emoji38][emoji38][emoji38]
Inategemea kuna ambao badala ya kuleta "joto",wao kwa makusudi mazima wanaleta "ubaridi" na mbaya zaidi katika mazingira ambayo mtu unahitaji joto. Hapo kupigwa chini ni halali yake kwa kweli.
 
Back
Top Bottom