Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Miliki hela kupitia ajira nzuri, au ofisi ya maana! Mfano duka kubwa hapo mtaani kwako. Halafu njoo unipe mrejesho. Kinyume na hapo utaishia tu kulialia.Wakuu wa MMU habari za sasa,
Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.
Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.
Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.
Umri wangu ni 26.
Yaani unaishi geto, huna mchongo! Usikute bado unawategemea wazazi! Halafu unataka mchumba! Kwani unadhani hao wanawake ni vipofu kiasi hicho mpaka waje kujipitisha kwa kijana ambaye huna future?