Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria kivuko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba.

RIP MWAMBA
 
Magufuli kwakweli alikuwa na maono makubwa na alilipenda taifa lake, japo nae alikuwa na mapungufu yake kama binadamu ila alithubutu kufanya mambo makubwa na yenye kuhitaji ujasiri na hakuyumbishwa, R.I.P kwake japo katuachia mzigo 😭😭😭
 
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria ku uko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba.

RIP MWAMBA
Na bado hiyo ni michaheche konki, ukweli Magufuli alijitoa sana
 
Mmemisi sana kusikia tukilinanga hilo shetani lenu la Chato.
Sawa, endeleeni tu kuliabudia
 
Wewe hujitambui.Rais Samia ,alikuwa makamo wa Rais,chini ya Rais Magufuli,kwa hiyo ujuwe hiyo miradi na yeye pia yumo katika utekelezaji.Urais ni Taasisi,kila aliyepo kwnye taasisi hiyo,anashiriki katika miradi husika.
 
Mmemisi sana kusikia tukilinanga hilo shetani lenu la Chato.
Sawa, endeleeni tu kuliabudia
IMG_1422.jpeg
 
Hakuna miradi ya Magufuli wala Samia. Miradi ni ya watanzania wote. Ikumbukwe miradi yote aliyoanzisha Magufuli ni mikubwa ya kuchukua pesa na miaka mingi ili kukamilika kwa hiyo isingewezekana kuitelekeza na kuanzisha mingine. Au mlitaka Mama Samia awe kama Magufuli kuvunja mikataba na baadae kulipa mabilioni ya fidia? Pia mkumbuke Mama Samia alikuwa makamu wa hayati Magufuli kwahiyo hakuna mradi chini ya Magu ambao hakushiriki kuanzisha.

Ndugu zangu tuache huu upumbavu wa kudhani miradi ya maendeleo inamhusu mtu mmoja wakati kodi yako ndo inafanikisha. Cha muhimu tuwapongeze viongozi wetu, Hayati Magu na Mama Samia kwa maono yao na kusimamia vizuri.
 
Wewe hujitambui.Rais Samia ,alikuwa makamo wa Rais,chini ya Rais Magufuli,kwa hiyo ujuwe hiyo miradi na yeye pia yumo katika utekelezaji.Urais ni Taasisi,kila aliyepo kwnye taasisi hiyo,anashiriki katika miradi husika.?
Akili za darasa la pili hizi, mbona 27k ya kuunga umeme na Toto afya kadi kazitoa.kama alikuwa mshauri
 
Hakuna miradi ya Magufuli wala Samia. Miradi ni ya watanzania wote. Ikumbukwe miradi yote aliyoanzisha Magufuli ni mikubwa ya kuchukua pesa na miaka mingi ili kukamilika kwa hiyo isingewezekana kuitelekeza na kuanzisha mingine. Au mlitaka Mama Samia awe kama Magufuli kuvunja mikataba na baadae kulipa mabilioni ya fidia? Pia mkumbuke Mama Samia alikuwa makamu wa hayati Magufuli kwahiyo hakuna mradi chini ya Magu ambao hakushiriki kuanzisha.

Ndugu zangu tuache huu upumbavu wa kudhani miradi ya maendeleo inamhusu mtu mmoja wakati kodi yako ndo inafanikisha. Cha muhimu tuwapongeze viongozi wetu, Hayati Magu na Mama Samia kwa maono yao na kusimamia vizuri.
Bado unaongea kwa tumbo siyo akili. Utakuwa umeishia darasa.la kwanza.wewe
 
Magufuli Vitu Vyake vingi sana ni tangible Aisee, Hela kweli ilielekezwa kwenye projects tangible mama Saivi watu wanalamba asali tu hela hazionekani
Ursisi ni

Urais ni taasisi.Rais Samia alikuwa makamu wa Rais,Kwa hiyo kila mradi ,unaouona yeye ameshiriki
 
Back
Top Bottom