Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

Mbwa wako wengi sana ,hiyo miradi ambao mama amemalizia ulitaka aanza mradi kabla ya kumalizi iliyokuwepo ?
Miradi yetu yote ile, tokea mahali ilipoachwa, ilihitaji pesa kiasi gani ili ikamilike mkuu

Maana kama mikopo ya hiyi miradi imekuwa ni mikubwa mno zaidi ya 60t

Na pesa zinazotokana na kodi zetu ndani ya miaka minne, zenyewe zinaishia kulipa posho tu za watumishi?

Nauliza tu
 
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria kivuko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba

Tutajie asilimia ya utekelezaji wa JPM mpaka siku anafariki
 
Magufuli kwakweli alikuwa na maono makubwa na alilipenda taifa lake, japo nae alikuwa na mapungufu yake kama binadamu ila alithubutu kufanya mambo makubwa na yenye kuhitaji ujasiri na hakuyumbishwa, R.I.P kwake japo katuachia mzigo 😭😭😭
Mzigo aliouacha Magufuli, Mungu asipoingilia kati utatusumbua sana na kulitia taifa kwenye madeni makubwa.
 
Kwa nini utawala huu umeonekana kukopa pesa nyingi kushinda hata madeni na mikopo yoote awamu zoote za nyuma,

Kama PPP ndiyo dawa ya miradi yote ambayo ingrfanywa na serikali

Hizo 60t zilizokopwa ndani ya miaka minne tu, imetumika wapi chiefu
Mikopo si ndio hio miradi ya juu inayosifiwa?

Sgr mpaka kuja kuisha Tegemea si Chini ya Trilioni 25, Bwawa la Nyerere Trilioni 9 kwenda 10, hizo Flyover na madaraja etc vyote ni mikopo japo tunadanganywa ni hela za Ndani, Hela tunayokusanya Ndani haitoshi hata kugharamia matumizi yote ya Serikali inabidi miradi wakakope.
 
Miradi ya maza 1. Utekaji/kuua 2. Chawa 3. Ufisadi wa mali za umma 4. Teua/tengua 5. Udini 6. Matumizi makubwa ya fedha za umma yasiyo na tija
Hivi mama angeamua
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria kivuko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba.

RIP MWAMBA
Mawazo ya namna hii ndio yamedidimiza nchi yetu. Hebu fikiria mama angeacha miradi ya Magufuli na kuazisha ya kwake kwa kutaka legacy mnayo izungumza hapa ingekuwaje?
 
Hayo mabilioni si yamelipwa baada ya yeye kufa? Akiwa hai kesi nyingi zilikua hazina mashiko. Kafa mmezifufua ili mpige pesa. Watu kama ninyi ndio mnaoiharibu CCM kwa kujidai mnaitetea.

Miradi kuianzisha ni utashi mkubwa unatakiwa. Katika pinga pinga ile unadhani mama anaweza pambana na wapingaji? Huo uwezo mama hana. Yeye anahitaji utu na maridhiano. Yanapomzidi ndio anatumia nguvu.

Huwezi kuridhina na mtu aliehongwa pesa ili takwa la mabeberu litimie, kudidimiza taifa na kuwa tegemezi. Ndio maana mwamba aliondoa hilo, akawashughulikia waliojiweka mbele na miradi ilifanyika.

Ninyi mmeleta drama mara mkandarasi halipwi mara crane hamna ili mradi tu mpige pesa.
Kabla hujajibu jitahidi uwe na uhakika na data zako. Mkandarasi wa barabara ya Bagamoyo aliyevunjiwa mkataba na Magu alitakiwa kulipwa lini? Mama analipa mabilioni ya fidia kwa upuuzi uliofanywa na mtangulizi wake. Nchi inaendeshwa kisheria sio hisia za mtu.
 
Hakuna mradi wa Sania wala Magufuli, yote ni miradi ya serikali.
 
Wewe hujitambui.Rais Samia ,alikuwa makamo wa Rais,chini ya Rais Magufuli,kwa hiyo ujuwe hiyo miradi na yeye pia yumo katika utekelezaji.Urais ni Taasisi,kila aliyepo kwnye taasisi hiyo,anashiriki katika miradi husika.
Kama alikuwa na yule mwamba na ametoka kapa, basi nakubaliana na Jerry Muro kwamba ni wa hovyo!
 
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake

Magufuli

1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa

2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.

3.Toto Afya kadi ilikuwa ni uamuzi mzuri na wa busara kuwahi kutokea nchini. Hii ilionyesha ni kwa kiasi gani aliwapenda watu wake.

4. SGR Mwamba alicheza kama Pele. Hapo namba 2 kaimarisha upatikanaji wa umeme ili sgr ije iteleze kama nyoko pangoni akili kubwa sana.hapa ilitumika sasa tunafurshia tu.

5. Barabara Kimara to kibaha ebana eee. Tuna enjoy sana mbezi tu kibaha dakika 10 tu. Kwa sasa kukaa kibaha unafanya kazi city center siyo shida tena alipanua mji kishujaa.

6. Kivuko cha Busisi. "Hiii bagosha".wasukuma.meno.yote nje huko wanapoliona hili daraja. Ni ujasiri wa ajabu kuwahi kufanywa na Raisi wa Nchi.

7. MV Victoria kivuko kipya ambacho kimeshakamilika. Samia.anasuasua utekelezaji.

8 Ubungo fly over haaaaa du another milestone hatari tupu ndani ya miaka 3 kitu hichooo huyu alikuwa mwamba.

RIP MWAMBA
Ni kweli marehemu alianzisha miradi hiyo (Mungu amuweke pema ) lakini yote ilikua katika hatua za mwanzo wakati Mh rais Samia anachukua kwa mpe sifa ya kuimaliza. Hii ilikua si kazi ndogo sababu miradi yote ni mkubwa na inahitaji pesa nyingi sana za kwetu na za kigeni. Kazi ilikua kila mwaka kupata na kutenga fungu kwa ajili ya miradi na huku bajeti ya kawaida ya serikali ikikidhiwa.
Haikuwa kazi ndogo
 
Mama nilikuwa sitaki kumtukana lakini ni takataka! Alichofanikiwa ni kuruhusu watu kula kwa urefu wa kamba zao, katika hili mama big up sana!
 
Ni kweli marehemu alianzisha miradi hiyo (Mungu amuweke pema ) lakini yote ilikua katika hatua za mwanzo wakati Mh rais Samia anachukua kwa mpe sifa ya kuimaliza. Hii ilikua si kazi ndogo sababu miradi yote ni mkubwa na inahitaji pesa nyingi sana za kwetu na za kigeni. Kazi ilikua kila mwaka kupata na kutenga fungu kwa ajili ya miradi na huku bajeti ya kawaida ya serikali ikikidhiwa.
Haikuwa kazi ndogo
SGR ameshindwa kuiendeleza. Kila kona inasuasua!
 
Kwani Magufuli hakukuta.miradi. we taja mradi mmoja wa maana wa samia acha majungu
Kwa akili zako ni kama za nzi huwezi jua na hutakaa ujue ,hivi sgr kwenda kigoma ilikuwepo huo ni mfano kidogo tu Kenge Mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom