Umetoa hoja, nime raise jibu, umeshindwa ku counter jibu unaanza mipasho? UngewekA tag uzi wako ni wa taarabu wala nisingekujibu
Flyover kama Mfugale imetumia Usd milioni 45 aka shilingi kama Bilioni 120 na Daraja kama Busisi ni Bilioni 500 za Kitanzania, Ku raise Bajeti ya Mshahara toka Trilioni 7 mpaka 11 (ukumbuke ni fixed budget kila mwaka) ina maana at minimum toka 2021 mpaka 2025 kumetumika si Chini ya Trilioni 13, hizo ni hela nyingi mno ambazo zingeweza kujenga miradi Gimmicks kibao.
Vision ya sasa ya Nchi ni kutumia PPP wacha private wafanye miradi, hela ya serikali ifaidishe wanananchi.