Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

Peponi zipo bwashee
Peponi ni halali ila duniani tumekatazwa.

Mungu kaizungumzia pombe kuwa peponi kutakuwa na mito ya mvinyo wenye ladha kwa wanywao, haulewesi na kuwatoa watu akili kama zilivyo pombe za duniani, Mvinyo wa peponi hauumizi kichwa, hauleti hangover wala kuvimbisha maini na figo kama haya matakataka ya duniani..

QURAN 47:15
 
Angetaka isiwepo humu angeitoa tu , kama ipo tunainywa na nguruwe tunakula , wasio kula na kunywa pia ni machaguo yao tu
 
Huyo mzee mpumbavu ukimpa hansons anajinyea bar!
 

Ambao hatuna mpango wa kwenda Huko Mbinguni. Tunakula share yetu hapa hapa dunian 😊😊😊
 
amekataza Dunian alaf Mbingun anatupa Mito ya Pombe na Wanawake ambao hawapat Period na K zinabana kila muda 😊😊😊😊.
Na Bao moja unafanya kwa miaka 88.
Hayo ni malipo kwa wale walioamini na wakamtii Mungu hapa duniani.

Peponi kuna raha tupu, hakuna tabu kama za hapa duniani...Imagine umestarehe kwenye kasri lako ambalo katikati yake kunapita mto wa maji matamu, mvinyo mzuri wenye ladha, mto wa asali, mto wa maziwa... umetulia kwenye gardens zenye matunda ya kila aina huku wahudumu wakipita kukuhudumia kile unachotaka, chakula unakula unachokitaka huku umezungukwa na walimbwende wazuri.

Peponi hakuna kuzeeka wala kuumwa na magonjwa...daima unabaki kuwa kijana mwenye nguvu.
 
Maziwa na asali hata huku tunayo tena, asali ya nyuki wadogo.
 
maisha ya dunia yanatudanganya ila ni mafupi mno..hizi tunazoziona ni starehe ni fupi mno...Wengi wetu hapa tumeshakula zaidi ya nusu ya umri wetu wa kuishi hapa duniani.
Nendeni tu mwenyewe tukiwa wengi hilo pati lenu litaboa
 
Kma maisha yalikufanya ukaanza kunywa, basi yanaweza kukufanya ukawa mlevi pia, meza hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…