Anayeweza kumwelewa lema anataka nini lazima atakuwa na matatizo kichwani lema ni punguwani namba moja
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ€© kawimbo kazuri kwenye baadhi ya mashairi. Japo kuna mahali pengine ametumia zaidi hisia kuliko uhalisia
 
Hivyo ndio unamtisha au,uumhusika katika utekaji wenyewe πŸ€”
 
Mimi sio mtu wa politics ila ngoja nsikile haka kawimbo maana ni kazi ku kaignore
 
Ni haki yako kuisema na kuikosoa serikali bila woga na pasipo kuvunja sheria za nchi.
 
Kuna vile ukiishi nje ya hii inchi, unafikiri tofauti sana.
 
Kuna vile ukiishi nje ya hii inchi, unafikiri tofauti sana.
 
Roma kupitia huo wimbo wake wa dakika 7 kaonyesha kipaji kikubwa alicho nacho kwenye muziki wa TAARAB ila kilikuwa kimefichwa kwenye hiphop. NINAMPONGEZA SANA. Ninamshauri abadilike na kuachana na hiphop ili kwenda kwenye kipaji chake halisi cha muziki wa TAARAB. Huko atatoboa kirahisi na kuacha kuendelea kuwa underground kwenye hiphop. Pia ataongeza idadi ya mashabiki wake badala ya kuendelea kuwategemea wafuasi wa chama cha Mbowe kama mashabiki zake huku wakiwa hawanunui nyimbo wala ku-view you tube. Kwa sasa hakuna wimbo wa hiphop wa dakika 7 dunia nzima.
 
Mungu Baba wa Mbinguni ambariki sana huyu kijana Roma.
Kama Tanzania ingekuwa na wakina Roma 1000 tuu waliopo kwenye kila nyanja ya kijamii, hakika Tanzania isingechezewa kama inavyochezewa tangu tulipopata uhuru.

Watanzania wengi tumebaki kulalamika ndani ya nyoyo zetu bila hata ya kupaza sauti kwa hata mmoja anayetuonea katika pilika pilila zetu.

Hakika huu ni ushujaa na inafaa apewe maua yake ayanuse akiwa hai.

Kongole sana Roma.
 
ROMA amesema hana muda wa kujibizana na kauli au maoni ya Wakazi kwasababu itaonekana kama anatafuta kick ya kuongeza views au usikivu wa wimbo wake.

Awali Wakazi alimchana ROMA kuwa wimbo wake ni kawaida huku akidai Verse haziendani na Chorus pia hazina uwiano zaidi ya yeye ROMA kujisifia kwenye kiitikio.

Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to play this audio.



Pia soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
 
Kuna time lazima usifie cha kwako/kwenu hayo ya kuja kukuta waliokuzidi urembo ni hadi hapo utakapokutana nao, vinginevyo chako/wewe utakuwa bora ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…