Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
ney the true boy kwa mashairi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ney the true boy kwa mashairi
Sijui zuena,mara am singleHizi ndio nyimbo za kusikilizwa na wanaume sasa sio wale wabana pia eti sijui usishike kirungu utaita wazungu
Heheh hii kaliAskofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani, atashindwa kuiba sadaka kanisani.
Kwa hiyo miziki wanaoimba sjui inama nkupake mafuta,nkuchomeke hawaifungiiBasata tayali wamesha ufungia
Mashuleni huko wanawasikilizisha miziki ya kina domo konde zuchu tuHizi nyimbo ziwe zinapigwa Mashuleni Nchi nzima, maana wao ndio next generation watakaokuja kulipa haya madeni yanayokopwa na kutumika vibaya.
Huko kwenye reli SGR zimepigwa bilioni moja unusu kwa kila KM.
Uzuri kapiga kotekote hakuwa mnafki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo mwishoni lazima hiyo Baba ni Hayati JPM
Acha watu wastuliwe bongo zaoBora tumechoka na hizi amapiano ambazo zaidi ya Vibe hazina push yeoyete !!
Wajinga ni mtaji wa CCM.Mashuleni huko wanawasikilizisha miziki ya kina domo konde zuchu tu
Na masingeli mzee
Wanawajaza tu watoto ujinga
Ov
Amesema yeye sio CCM Wala CHADEMA,Hili ni swali dogo tu kwako Roma Mkatoliki popote ulipo , ujumbe wako umeeleweka kwa kiasi chake , na bila shaka wengi wamekuelewa hasa ulipotumia neno maarufu la "Andazi" ungeweza kusema pia Kiazi lakini ukachagua Andazi , tena lile andazi lenye upepo ndani .
Kwamba wewe si Chadema wala si CCM ambacho pia ni chama cha Makonda , hakika hiyo ni haki yako , na huo ndio Uhondo wa Vyama vingi , maana yuko Dovutwa na Hashimu Rungwe pia
Lakini kuna kijiswali kidogo kwamba ikiwa kwa bahati mbaya kunguru akadokoa andazi na kupeperuka nalo , hakuna option nyingine , ikabidi tu watu wakuwekee CCM na CHADEMA , Je utachagua nini ?
Jibu kwa kimya kimya kwa kunong'oneza tutakuelewa tu .