YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Hizi ndio nyimbo za kusikilizwa na wanaume sasa sio wale wabana pia eti sijui usishike kirungu utaita wazungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka eti usishike kirungu utaita wazungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndio nyimbo za kusikilizwa na wanaume sasa sio wale wabana pia eti sijui usishike kirungu utaita wazungu
SlaaHaahaa yaan kabla sija acha mziki ninge flow kwenye bit za aina hizi...producer Paul alikua anatupa midundo....
Nilikua nafanya harakati za hip-hop enzi hizo.... napa nipo nafanya remix ya Roma [emoji851][emoji851]
Mwenye PhD wa karatu NDIO nani?
Hizi nyimbo ziwe zinapigwa Mashuleni Nchi nzima, maana wao ndio next generation watakaokuja kulipa haya madeni yanayokopwa na kutumika vibaya.
Huko kwenye reli SGR zimepigwa bilioni moja unusu kwa kila KM.
Mwenye huo wimbo atuwekee humu, namkubali sana huyu kijana, ni kati ya vijana wachache wenye uthubutu wa kusema ukweli huku wengi wakijiita machawaKama hujapata kusikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki basi hujachelewa;
1. Jeshi gani limeishindwa kumtambua Kigogo?
2. Nchi wameifanya mti.
3. Mbona mama anarudia kilemba? Afu mbona vyuma vimekaza afu mama anaificha ndizi?
4. Mimi sio CCM wala CHADEMA ilo niliweke wazi, nikiwekewa CCM na andazi mi nitachagua andazi.
5. Amjasikia remote iko Msoga?
6. Jimbo hili aliendelei kisa mlimchagua mpizani basi shinda na huu mtihani.
7. Wengine mmewaona viongozi wakazi walikuwa marapa (Mwana FA).
8. Vijana siasa ndio inaweka kila kitu safi.
9. Anayechelewesha mshafara ni ng'ombe wa mbele ila anapigwa wa nyuma ili apige kelele 🙏
Ujumbe Toka Kwa Roma Mkatoliki.
....... Tanzania Yangu......
View attachment 2593500
Nipeni maua yanguKaimba nini?