Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Askofu mfufua wafu anaiba kura za wapinzani,
Je atashindwa kuiba sadaka za waumini kanisani?
Sadaka ni AMRI na agizo Kutoka Kwa Mungu,

Kama tumekubali kulipa Kodi, SADAKA ni lazima.

Pia Askofu hawezi kuiba sadaka,sababu zinatolewa Kwa HIYARI.

Usipotoa SADAKA ikateketezwa madhabahuni, Utateketea wewe.
 
Kwema humu,

Roma mkatoliki kaachia ngoma na Abiud inayoenda kwa jina la "Nipeni maua yangu." Daaah nimeisikiliza kwa kuirudia mara 3(×3), aisee mwamba Roma kaja kivingine baada ya kupotea kwa kipindi kirefu sasa amethibitisha kuwa anarudi rasmi kwenye game.

Kaeni mkao wa kula any time is tea time, tumemfanyia interview tukiwa ndani ya New York City Marekani, ni muda sasa kuinjoy vitu vikali achana na hawa wasanii wanaopapasana.🤭
 
Kwema humu,Roma mkatoliki kaachia ngoma na Abiud inayoenda kwa jina la "nipeni maua yangu" Daaah nimeisikiliza kwa kuirudia mara 3(×3), Daaah aisee mwamba Roma kaka kivingine baada ya kupotea kwa kipindi kirefu sasa amethibitisha kuwa anarudi rasmi kwenye game, kaeni mkao wa kula any time is tea time, tumemfanyia interview tukiwa ndani ya New York City Marekani, ni muda sasa kuinjoy vitu vikali achana na hawa wasanii wanaopapasana[emoji2960]
Naiskiliza zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jamaa ana akili sana!
 
Nimeisikiliza zaidi ya mara 20, na hapa niko bar nimeiunga kwenye system zao kwa blootooth
 
Back
Top Bottom