Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Haahaa yaan kabla sija acha mziki ninge flow kwenye bit za aina hizi...producer Paul alikua anatupa midundo....
Nilikua nafanya harakati za hip-hop enzi hizo.... napa nipo nafanya remix ya Roma 🤓🤓
Mwenye PhD wa karatu NDIO nani?
Madelu
 
Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani, atashindwa kuiba sadaka kanisani.
Askofu hakuiba uchaguzi, wananchi walimpigia kura, aliyeongeza kura bandia ni wasiojulikana.

Pia sadaka ni AMRI, tumelazimishwa Kutoa SADAKA. Ilipo SADAKA ya mtu, ndipo ulipo moyo wa Mtu.

Uwe Wa Giza au wa Nuru, SADAKA lazima.

Usipotoa sadaka, usitegemee hatua yoyote maishani.

Usipotoa SADAKA ikateketezwa madhabahuni, Utateketea wewe.

Elfu kumi Yako ni shukrani tu, Mungu alimchinja mwana wake wa pekee kama sadaka ya Ukombozi wa Dunia nzima.

Siasa zibaki mahala pake, ya Mungu tumwachie Mungu.

Ukiona watafaidi watumishi, peleka sadaka Yako Kwa wajane na yatima.

Ameen.
 
Sadaka ni ya kanisa, Kaz yake ni kufanya kaz ya Mungu Big Roma yuu sahihi
 
Askofu hakuiba uchaguzi, wananchi walimpigia kura, aliyeongeza kura bandia ni wasiojulikana.

Pia sadaka ni AMRI, tumelazimishwa Kutoa SADAKA. Ilipo SADAKA ya mtu, ndipo ulipo moyo wa Mtu.

Uwe Wa Giza au wa Nuru, SADAKA lazima.

Usipotoa sadaka, usitegemee hatua yoyote maishani.

Usipotoa SADAKA ikateketezwa madhabahuni, Utateketea wewe.

Elfu kumi Yako ni shukrani tu, Mungu alimchinja mwana wake wa pekee kama sadaka ya Ukombozi wa Dunia nzima.

Siasa zibaki mahala pake, ya Mungu tumwachie Mungu.

Ukiona watafaidi watumishi, peleka sadaka Yako Kwa wajane na yatima.

Ameen.
Umeanza lini kuwa Gerson Msigwa? Mzee wa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom