MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Wanatumia nguvu kubwaa kwenye mambo madogo,,,
Jeshi gan mpaka leo mmeshindwa kumjua kigogo,,,
Jeshi gan mpaka leo mmeshindwa kumjua kigogo,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameitendea hakiKibao kitamu sana,kimesheni reality na madhila wanayopitia Wananchi wa Tanzania.
Nyimbo gani mkuuBila kumsahau mwamba ney wa mitego, amekataa kabisa kuwa mnafiki pia yule jamaa. Ngoma yake sauti ya watu kali sana ilajaa content tupu.
Imetulia sana.Nimeisikiliza, kazi nzuri.
Nyimbo gani mkuu
Roma hana mpango wa kurudiNaona kaamua kuwachana waziwazi
Akirudi ataishia lupango😀
Mwamba amerudi kama zamani.Ili dude limeshiba aise noma noma noma Wana.
Aaah namjua vizuri. Nilidhani ameleta kazi mpya.ina maana humjui ney wa mitego? ni mmoja wa wasanii aliyekataa katakata kuwa chawa wa wanasiasa tangu zama za jpm. Tafuta wimbo unaitwa "sauti ya watu".
Kwenye wimbo huokuna tusi au kosa gani?Naona kaamua kuwachana waziwazi
Akirudi ataishia lupango😀
Chama cha Roma🤣🤣Mi sio CCM sio Chadema, hili niliweke wazi. Ila Ukiweka CCM na Andazi nitachagua andazi
Roma alitaka kulinganisha Maandazi na vitu gani vile? Aache ujinga😅Chama cha Roma🤣🤣View attachment 2593087