Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Sifa lazima tutoe pale inapostahili.

SIdhani kama afrika kuna msanii mwenye akili kama ROMA!

NIPENI MAUA YANGU.

Mmeshaanza mambo yenu. Umetumia kigezo gani mkuu?😅😅😅

Hivi ushawahi kutana na situation, unajiona umependeza sana, alaf ukaenda sehemu ukakuta watu wamependeza hadi unaogopa kupiga nao picha?

Self evaluation, sio everyone evaluation
 
Back
Top Bottom