Sawa Nyoka wa kijaniRoma kupitia huo wimbo wake wa dakika 7 kaonyesha kipaji kikubwa alicho nacho kwenye muziki wa TAARAB ila kilikuwa kimefichwa kwenye hiphop. NINAMPONGEZA SANA. Ninamshauri abadilike na kuachana na hiphop ili kwenda kwenye kipaji chake halisi cha muziki wa TAARAB. Huko atatoboa kirahisi na kuacha kuendelea kuwa underground kwenye hiphop. Pia ataongeza idadi ya mashabiki wake badala ya kuendelea kuwategemea wafuasi wa chama cha Mbowe kama mashabiki zake huku wakiwa hawanunui nyimbo wala ku-view you tube. Kwa sasa hakuna wimbo wa hiphop wa dakika 7 dunia nzima.