Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
"Siwaamini watawala, siwaamini wapinzani. Maana wanaendelea kukatika huku Dj kauzima mziki."
Mimi nachagua andazi.
20230420_092022.jpg
 
Haya maridhiano yamekuwa ni ya kula futari na kuvuta muda.
 
Roma si mara ya kwanza kiitikio na ngoma yake kuwa vutu viwili tofauti, ila watu wanapenda mistari yake, jumbe zake. Hip hop ni ujumbe, ujumbe ufike tu, viitikio huwa ni nyongeza.

Wakazi ni mtu ambae hata sijui anaimba nini..
Kabaki kuponda wasanii wenzie Twitter, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani kavuliwa Ubingwaa, lol
 
Roma katisha sana,na kwa wimbo huu,harudi mapema nchini.
 
Back
Top Bottom