Sawa Nyoka wa kijani
 
Nyie mlizoea nyimbo za captain Komba
 
Roma si mara ya kwanza kiitikio na ngoma yake kuwa vutu viwili tofauti, ila watu wanapenda mistari yake, jumbe zake. Hip hop ni ujumbe, ujumbe ufike tu, viitikio huwa ni nyongeza.

Wakazi ni mtu ambae hata sijui anaimba nini..
 
Hiyi ndio tz yetu ndio mana nasema hv hiyi nchi shida haipo kwa watawala shida ipo kwa wananchi like wakazi, kuhusu nyimbo ya roma mi nazani wakujadili ni viongozi husika ila kama viongoz husika wamemtuma wakazi hapo sawa
 
Wakaz yupo sahihi ila Roma alicholenga yeye ni kufikisha ujumbe...wasanii wengi wanaoimba nyimbo za kukosoa huwa wanazngatia zaidi kufikisha ujumbe masuala ya chorus na mengne huwa ni ya ziada tuu
 
Nazungumza kwa nafasi yangu ya sanaa tena senior artist.
Popote duniani hakuna kitu kinachoitwa BAD ART yaani hakuna SANAA MBAYA

Sanaa inapewa hadhi ya anayeipokea na hakuna demokrasia ya kulazimisha mtu aamini unachokiamini wewe.

Wakazi anajitahidi lakini anaruka mipaka ya asili
 
Nyimbo zako ziko wapi?
 
Kwani huyo wakazi ndo nani huko darisalam? Manake huko dar huwa mnadhani sisi huku mikoani tunawajua watu Wote wa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…