kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
[emoji1][emoji3][emoji1][emoji3][emoji1][emoji3]Mnatuonyesha Ziwa huku mmeziba Chuchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji3][emoji1][emoji3][emoji1][emoji3]Mnatuonyesha Ziwa huku mmeziba Chuchu
Roma Mkatoliki Mkali wa Nyimbo za kufoka.Roma ndio nini?
Haahaa yaan kabla sija acha mziki ninge flow kwenye bit za aina hizi...producer Paul alikua anatupa midundo....
Kichwa cha suzuki engine ya fuso[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji848]Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki.
Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda.
Hakika baada ya kuusikiliza nampa maua yake ayanuse angali akiwa hai.
Ni mstari upi umekuvutia zaidi? Tushirikishe hapa...
😅😅😅" wanatumia dola kubaki kuongoza dola",
"watawafunga watapora"
"watauwa watahonga vijora."
Viva Roma
Unaweka Maziwa Juu chuchu umezificha?Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki.
Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda.
Hakika baada ya kuusikiliza nampa maua yake ayanuse angali akiwa hai.
Ni mstari upi umekuvutia zaidi? Tushirikishe hapa...
😅😅😅Kichwa cha suzuki engine ya fuso[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji848]
😅😅😅Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani, atashindwa kuiba sadaka kanisani.
😅😅😅Hizi ndio nyimbo za kusikilizwa na wanaume sasa sio wale wabana pia eti sijui usishike kirungu utaita wazungu
Ni jambo jema
CCM na Andazi😂😂😂
Ingekua enzi za Rais wa wanyonge wangemfuata huko huko US......Nachagua Andazi
😅😅😅😅Ingekua enzi za Rais wa wanyonge wangemfuata huko huko US......
Bonge la NGOMA
Ikiwekwa CHADEMA na andazi atachagua nini🤓🤓🤓
Unaenda na MCHANGA beach 🏖️🏖️⛱️⛱️
Roma bwana🤣🤣🤣😅😅😂😂😂👇
🎧🎧🎧🎧