3Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10
Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?
1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo
2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua
3 niseme Mimi ndo shahidi kesi ya Tundu Lissu
4 naenda kufanya presentation ya field report
5. Kuna mashindano ya michezo ya wanavyuo hufanyika kabla vyuo kufunguliwa
Kumbe watoto mpo wengi humu 🙌 sibishani na nyinyi tenaa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10
Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?
1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo
2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo yamezingua
3 niseme Mimi ndo shahidi kesi ya Tundu Lissu
4 naenda kufanya presentation ya field report
5. Kuna mashindano ya michezo ya wanavyuo hufanyika kabla vyuo kufunguliwa
Mwanangu utaweza kupigana na Mimi ? Unakumbuka Mara ya mwisho tulikosana nini ?Una hasira?
Kaka wadogo zetu SYLLABUS NYINGII huyu huyu mchambuzi wa mpira, kufuatilia zuchuu , vita vya Israel and Palestine, Russia na Ukraine na mambo mengi mengi ya ovyooo unategemea wasipate SUPNdiyo serikali inakuja kuliajiri toto Kama hili eti nalo unalikuta halmashauri na suti za karume limekaa Kama liko sawa kumbe apeche alolo
Nimeshangaa Sana kusikia kapo chuo na kutwa oooh Chimba hivi Mara Yanga vile yaani kikubwa kaniboe .Kaka wadogo zetu SYLLABUS NYINGII huyu huyu mchambuzi wa mpira, kufuatilia zuchuu , vita vya Israel and Palestine, Russia na Ukraine na mambo mengi mengi ya ovyooo unategemea wasipate SUP
MIMI SIJAWAI PATA SUP KATU