6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Ver
very nice mkuuAnnotation sikufanya maana naijua na niliona haina ela, training ilinichukua kama week kwa kusoma mwenyewe na pia kuna training wanazifanya wakenya via internet ukijiunga renotask unakuwa wapokea invitations.
Baada ya hapo kuna paper unapga ukifaulu unaanza kazi. Technically nlicheat lile paper maana nligundua weakness ukikosa ukapga back back then ukianza piga next inakupa right, sina hakika kama hii weaknéss bado ipo maana naongelea mambo ya 2 years ago.
Kama 500 au zaidi sikumbuki vizuri maana mpaka pia ukute task zipo si kwamba zipo tu muda wote lakini zipo mara kwa mara. Halafu itakuchua masaa mengi zaidi ya hayo mwanzoni.
Pia inahitaji poweful machine kidogo na inakula bundle 😄
Nilifanya kama mwezi nkaipga chini