Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Ver
Annotation sikufanya maana naijua na niliona haina ela, training ilinichukua kama week kwa kusoma mwenyewe na pia kuna training wanazifanya wakenya via internet ukijiunga renotask unakuwa wapokea invitations.
Baada ya hapo kuna paper unapga ukifaulu unaanza kazi. Technically nlicheat lile paper maana nligundua weakness ukikosa ukapga back back then ukianza piga next inakupa right, sina hakika kama hii weaknéss bado ipo maana naongelea mambo ya 2 years ago.
Kama 500 au zaidi sikumbuki vizuri maana mpaka pia ukute task zipo si kwamba zipo tu muda wote lakini zipo mara kwa mara. Halafu itakuchua masaa mengi zaidi ya hayo mwanzoni.
Pia inahitaji poweful machine kidogo na inakula bundle 😄
Nilifanya kama mwezi nkaipga chini
very nice mkuu
 
Kwa nini usijifunze scalping mkuu
Itakulipa nakuhakikishia
Hakuna kilicho kigumu ukiamua
Ukiwa na dollar 50 kuingiza dollar 5 kwa siku ni Dakika moja tu
 
kwenye link naona neno referral. mambo ya referral sihitaji mzee
Daah wewe mzee una masharti mengi sana kwa mtu ambaye anahaha kutafuta 2 dollars kwa siku, Mara sitaki vitu intellectual, mara sihitaji referral, mara sitaki nini ... sasa kitu gani kwa ulimwengu wa sasa ambacho kitakuja tuuu kwa wepesi bila kuwa na skill yoyote?
 
Mimi nahitaji kazi ya kutranslate audio to hardcopy
Hiyo inaitwa transcription, una skills zake? Zipo aina 4 ila mbili ndizo zatumika sana yani verbatim- unaandika kila mzungumzaji anachosema hata akiguna, au akisitasita. Kina edited and itelligent - hii mfano akirudia neno au sentence kama si.msisitizo unaruka unaandika moja tu au anapenda tumia maneno kama you got me kila baada ya sentence, huyaandiki.
Hii kazi kwakweli siitaki kabisa
 
Hizi online survey ni masikhara aisee yaani karibia siku tatu premise Nina mia saba kwenye acc
Screenshot_20220323-092444.jpg
 
SME nikampuni ya uhakika kutoka Marekani inayolipa kwa masaa, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi, miezi hadi mwakaa

Naweza kujiungaje??

Jisajili kwa line yako kisha downlod App ya kampuni utakutana na offa yako ya Tsh 10,000/= iwekeze ukitaka uanze kuvuna faida 🤑🤑

Malipo hufanyikaje??

Malipo yote hufanyika Kwa njia mbili kama ifuatavyo👇

M PESA na mfumo wa USDT Kwa wale wenye Wallet

Vifurushi vyake vikoje??

Baadhi ya vifurushi vyake ni hivii hapa 👇

Ukiweka Tshs 30,000/= utapokea sh. 1440 kila siku kwa siku 7 kwa muda wa wiki 5

Ukiweka Tshs 80,000/= utapokea she 4320/= kila siku kwa mda wa siku 15 kwa muda wa wiki 10

Ukiweka Tshs 200,000/= unapokea shs 12,000/= kila sikuu kwa siku 30 kwa miezi mitano

Ukiweka Tshs 500,000/= Utapokea shs 34,000/= kila sikuu kwasiku 60 kwa miezi 10

Utawekeza tena na tenaa

Withdrawal

Kiwango cha chini cha utoaji ni Tsh 5000/= kwa njia ya m-pesa au USDT

withdrawal fee ni 15%

Jisajiri link

VMX7SZ7M

Ingia kwa group 👇
SME TANZANIA🇹🇿.
jisajili kisha download app alafu login kupitia taarifa zako za usajili.. utakuta ten ya offer investment unufaike.. ukitaka kuweka Hela Yako ni wewe but Sio lazia
 
SME nikampuni ya uhakika kutoka Marekani inayolipa kwa masaa, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi, miezi hadi mwakaa

Naweza kujiungaje
??

Jisajili kwa line yako kisha downlod App ya kampuni utakutana na offa yako ya Tsh 10,000/= iwekeze ukitaka uanze kuvuna faida [emoji857][emoji857]

Malipo hufanyikaje??

Malipo yote hufanyika Kwa njia mbili kama ifuatavyo[emoji116]

M PESA na mfumo wa USDT Kwa wale wenye Wallet

Vifurushi vyake vikoje
??

Baadhi ya vifurushi vyake ni hivii hapa [emoji116]

Ingia kwa group [emoji116]
SME TANZANIA[emoji1241].

hiyo ten unaweza kuitoa kabla ya kui invest?
 
Ponz scheme...
 
Back
Top Bottom