kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
sisi ilikuwa mwisho wa maombi ni tarehe 25 february, ila bado tunasikilizia. vipi wanatoa majina kwa mfumo gani. unapewa taarifa kwa njia ipiKanda ya ziwa wamechelewa sana
Sisi wenyewe toka tuandike barua mwisho februari 28 jana ndio majina yametoka leo ndio tumefanya usaili
Matangazo wanagandisha kwenye ofisi ya mtendaji sijui bomani na maanisha hizi ofisi wanazokaa hawa watumishi kwa pamoja mkurugenzi ,dus ,dco nk hakuna cha text wala kupigiwa simusisi ilikuwa mwisho wa maombi ni tarehe 25 february, ila bado tunasikilizia. vipi wanatoa majina kwa mfumo gani. unapewa taarifa kwa njia ipi
hapo kazi ipo.Matangazo wanagandisha kwenye ofisi ya mtendaji sijui bomani na maanisha hizi ofisi wanazokaa hawa watumishi kwa pamoja mkurugenzi ,dus ,dco nk hakuna cha text wala kupigiwa simu
Uwe unapita mara kwa mara kuangalia tofauti na hapo utashtuka majina yashatoka kitambo
Mimi nilikuwa naenda kuangalia mara kwa mara nikalifuma jana jioni halafu leo asubuhi usahili
naona yametoka kuna moja usahilini 12,13 weru weru na 14 ambayo pdf iko kwenye site. nyingine ya majina bukumi mwenyewe natamani kujua hilo. maana sisi wengine tokea tuombe huku Manispaa ya Mpanda hatujui nini kinaendelea
una maanisha Manispaa ya Mpanda majina yametoka? nayapatajenaona yametoka kuna moja usahilini 12,13 weru weru na 14 ambayo pdf iko kwenye site. nyingine ya majina buku
hapana mi nasemea moshiuna maanisha Manispaa ya Mpanda majina yametoka? nayapataje
Mkuu Kizitofx kuna watu ni wabinafsi na hawapendi kuona wengine wanapata, yaani mtu amefanya usaili mkoa tofauti na maswali anayajua lakin anashindwa kushare iwe faida kwa wengine....hizi roho mbaya sijui zinawafikisha wapi watu kma hawa?Mbona ambao tayari mmeshafanya interview mnaombwa kuweka maswali yanayoulizwa hapa mnakaa kimya wakuu kulikoni aiseee.... just know sharing is caring wazee...tubebane wana
Duuh mlikuwa wangp mpk mkapewa Interview ya Written?Nimetoka Leo kwenye interview ya Anwani za makazi nitashare maswali kadhaa ninayokumbuka hapa yawasaidie wale ambao Bado hawajafanya usaili
1, Anwani za makazi na postikod ni nini?
2,Taja faida 5 za mfumo huu wa Anwani za makazi
3, kwanini mfumo wa Anwani za makazi unaonekana kuwa Bora kuliko mfumo wa posta ambao umeonekana kuleta usunbufu?
4, Ni lini Rais ameagiza zoezi hili la ukusanyaji Taarifa za ANWANI ZA MAKAZI kuwa limekamilika!?
5, Dunia Ina pande kuu nne lakn unaweza kuziweka na kueleza zifike nane au kumi na sita....chora dira ya pande nane za Duniani na kuziainisha.
6,taja aina 3 za Anwani zinazotumika ulimwenguni.
7, Mambo matatu ya KUZINGATIA unapoenda kukusanya Taarifa za ANWANI ZA MAKAZI na postikod.
8. Unaishi tarafa gani, halmashauri gani,Kata gani.
Taja jina la afisa tarafa wako,jina la Diwani wako,mtendaji WA kata,mtendaji WA mtaa.
Wakuu haya hapa ndio kadhaa nayakumbuka kwenye paper la interview leo... fanyien Kazi
Sasa hao weng morogoro tulkuwa 5040 tukapga usaili kazin wmeitwa watendajiWengi Sana 565
Mwenye nacho huingezewaBora nyie mpo live.huku wilaya ya mkuranga deadline ilikuwa jana lakin kazi zilishaanza kimya kimya kwa watu maalumu na fomu nimepita zipo pale pale ofisini hazijapelekwa kokote.nimepata habari hao wamejitolea bure bila malipo.nchi ngumu sana hii.kazi za bure pia unaweza usipate kama huna mtu wa kukushika mkono.
Kwa haya maswali vichwa vingi vya kibongo havitoboi . Kwa hii nchi ya kupenda umbea na habari za udaku hapa hawatoboi[emoji1][emoji1][emoji1]Nimetoka Leo kwenye interview ya Anwani za makazi nitashare maswali kadhaa ninayokumbuka hapa yawasaidie wale ambao Bado hawajafanya usaili
1, Anwani za makazi na postikod ni nini?
2,Taja faida 5 za mfumo huu wa Anwani za makazi
3, kwanini mfumo wa Anwani za makazi unaonekana kuwa Bora kuliko mfumo wa posta ambao umeonekana kuleta usunbufu?
4, Ni lini Rais ameagiza zoezi hili la ukusanyaji Taarifa za ANWANI ZA MAKAZI kuwa limekamilika!?
5, Dunia Ina pande kuu nne lakn unaweza kuziweka na kueleza zifike nane au kumi na sita....chora dira ya pande nane za Duniani na kuziainisha.
6,taja aina 3 za Anwani zinazotumika ulimwenguni.
7, Mambo matatu ya KUZINGATIA unapoenda kukusanya Taarifa za ANWANI ZA MAKAZI na postikod.
8. Unaishi tarafa gani, halmashauri gani,Kata gani.
Taja jina la afisa tarafa wako,jina la Diwani wako,mtendaji WA kata,mtendaji WA mtaa.
Wakuu haya hapa ndio kadhaa nayakumbuka kwenye paper la interview leo... fanyien Kazi
Hii ni Oral au Written?Wengi Sana 565
Mkuu Kunguru wa Manzese em fanya kutuwekea maswali yalioulizwa kwenye interview iwe faida kwa wengine watakao itwa kwenye hyo interview, bila shaka maswali yanaweza kuendana kwa vile ni kazi za aina moja!Nimefanikiwa kupita kwenye interview tumeitwa kwenye semina
Hivi kwenye semina wanatulipa ?