Eshemmelaa
Member
- Oct 16, 2015
- 7
- 5
Haya mambo naelewa umuhimu wake kiongozi kama uzi ulivyosema basi system yetu ya interview nilieleza huko juu uki scroll post zilizopita unaweza onaMkuu Kunguru wa Manzese em fanya kutuwekea maswali yalioulizwa kwenye interview iwe faida kwa wengine watakao itwa kwenye hyo interview, bila shaka maswali yanaweza kuendana kwa vile ni kazi za aina moja!
Mkuu Kunguru wa Manzese ninashukuru sana kwa jibu lako, hapo tayari umenipa mwanga sababu naamini maswali yanaendana kwa sehemu nying sana kulingana na maelezo yako sina shaka, naamini nitapata hii kazi ya mda mfupi!Haya mambo naelewa umuhimu wake kiongozi kama uzi ulivyosema basi system yetu ya interview nilieleza huko juu uki scroll post zilizopita unaweza ona
Ngoja nirudie tena kiongozi
Cha kwanza sisi hatukuwa written interview
Sisi ulikuwa unaingia ndani na simu yako hakikisha ni yako iko full charge
Cheti original cha form 4 na Cha kuzaliwa basi hakuna ziada
Ukifika ndani wanakuuliza miaka yako japo cheti cha kuzaliwa ushawapa so unaweza jiuliza si wanaweza angalia hapo
Elimu yako au umeishia level gani na unafanya nini kwa sasa yaani kinachokuingizia income maswali wanaweza kuuliza kwa kingereza au kiswahili depend na mood yao [emoji3]
Wanawakuwa watu wawili. Mmoja anakuuliza hayo maswali mwengine anakwambia umpatie simu yako
Kwenye simu kwanza wataangalia kama email inaendana na ile iliyoandikwa
Na wataangalia na android version ya simu yako vengine sijui maana anaikagua simu kwa mda kidogo na huwezi ona la kwa ujanja
Baada ya hapo unapewa simu yako unaambiwa ondoka
Daaaaah umenichekesha sana mkuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]Kwa haya maswali vichwa vingi vya kibongo havitoboi . Kwa hii nchi ya kupenda umbea na habari za udaku hapa hawatoboi[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa wale wale ikiwa wataambiwa wapeleke imei number, ni bora wainakili kwenye karatasi mapema na kuliko kupiga *#06# ili kupata imei no. Kuna mtu simu yake kipindi amepiga hiyo number ikamletea imei na kipindi anaitaja simu iliganda kwa mda kabla ya kuambiwa UI system is not responding. Kwa hiyo aliambiwa apishe wengine kwani mda hautoshi. Tecno hizi basi tu ila sometimes zinaboa kwa kustaki staki wakati wa muhimu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeh huo uzalendo ni zaidi ya raia wa Ukraine walioshika silaha kwa kimkabili adui ambaye wanajua hawamwezi.
Hata mini aseee nimetoboa wewe upo wapiNimefanikiwa kupita kwenye interview tumeitwa kwenye semina
Hivi kwenye semina wanatulipa ?
😂😂😂😂😂Halmashauri ya mji wa mafinga sijui mkurugenzi kapiga hela nn maana wiki ya nne hii toka tupeleke barua za maombi[emoji28][emoji28]
itakuwa watu waliitwa kimya kimyaHalmashauri ya mji wa mafinga sijui mkurugenzi kapiga hela nn maana wiki ya nne hii toka tupeleke barua za maombi[emoji28][emoji28]
Mkuu nipo kwenye mgahawa wa halmashauri apa kama wangeitwa, ngesikia hata semina zao basi[emoji38][emoji38][emoji38]itakuwa watu waliitwa kimya kimya
Nilichogundua ni kuwa halmashauri nying hawajalipa kwenye semina labda watawalipa huko mbele pia huku nilipo wadada wamepata sana shavu na leo wameanza kazi bt baadhi yao wamekutana na Changamoto ya kutembea na kuna possibility kubwa ya kubwaga manyangaMbona mliopita kweny interview na mpo kwenye training hamsemi kama wanalipa???? Ila Taarifa muhimu wajameni
SimiyuHata mini aseee nimetoboa wewe upo wapi
Kwani Hawakujua kama hizi kazi unatembea kila kona kila nyumba kwenye mtaa kukusanya dataNilichogundua ni kuwa halmashauri nying hawajalipa kwenye semina labda watawalipa huko mbele pia huku nilipo wadada wamepata sana shavu na leo wameanza kazi bt baadhi yao wamekutana na Changamoto ya kutembea na kuna possibility kubwa ya kubwaga manyanga
Nilichogundua ni kuwa halmashauri nying hawajalipa kwenye semina labda watawalipa huko mbele pia huku nilipo wadada wamepata sana shavu na leo wameanza kazi bt baadhi yao wamekutana na Changamoto ya kutembea na kuna possibility kubwa ya kubwaga manyan
Walijua kuna wali nazi na mchuzi funza 🤠🤠🤠🤠Kwani Hawakujua kama hizi kazi unatembea kila kona kila nyumba kwenye mtaa kukusanya data
Mmh maaana ni balaaaKama huna connection fanya mishe zingine