Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

Duuh kwahyo kwenye semina hamna mshiko

Daah watupe basi hata chakula
 
Server ya hawa jamaa inacherewesha sana kazi,hili zoezi limeandaliwa kiupigaji na wanapiga kweli
 
Ni mji gani hiyo Nyumb 35 a Day... wengine tumefanya interview week ya pili sas imeisha hakuna majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…