Nipo mwambao wa Ziwa Tanganyika, uliza chochote kuhusu Kigoma utajibiwa

Siku zote nikisikia mkoa wa kigoma unatajwa picha iliyokuwa inajengeka kichwani mwangu ni ya hovyo sana, sikuwahi hata kuwaza kama kunaweza kuwa na maeneo mazuri na ya kuvutia kama picha inavyoonyesha!
 


Kigoma Ndiyo Dubai Ya Tanzania

Nswa Zikitoka Unachukua Kopo Unakaa Kwenye Kichuguu Mchana Kutwa
 

Kuna fursa gani huko kama za kilimo, ufugaji, utalii, usafirishaji, biashara?
 
Nafatuta enemy zuri lililotulia nataka kufanya investment farm house flani amazing
 
Naomba updates za Mkatanga A, Kwa Mrefu, Bangwe beach, Live band ya Wakongomani,
 
Kwa nini Waha wengi hawapendi kabila lao bali hujiita Wamanyema? Wabembe ni watu wa kutoka wapi? Kuna sehemu inaitwa Nguruka ilisifika kwa wizi, hali ikoje kwa sasa?
 
Nasikia Kigoma kipindi Cha mvua Kuna radi za hatari...ukiwa mgeni unaweza geuza kesho yake ulipotoka ni kweli?
Ni Hatareee Radii kali sana unaeza kimbia ila ukizoea unaona kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…