Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Siku zote nikisikia mkoa wa kigoma unatajwa picha iliyokuwa inajengeka kichwani mwangu ni ya hovyo sana, sikuwahi hata kuwaza kama kunaweza kuwa na maeneo mazuri na ya kuvutia kama picha inavyoonyesha!Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania
View attachment 1988335
Karibuni Kigoma,
Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
View attachment 1988349
Uliza chochote kuhusu Kigoma, utajibiwa.