Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa 🤔

Dada mm sio mgeni wa kula tamu 😎

Hakuna mwanaume anaweza akaiacha pesa.ya mke wake aliyemuoa aitumie hovyo

Mwanaume anakuwa responsible Zaid na yule mama wa nyumban tena aliyemkuta bikra

Hawa wengine tuliowakuta wamemwagiwa lita 78 huwa tunawapa maneno matamu Ili wasijihisi insecurity

Ukiona mwanamke anahudumiwa vyema fuatilia lzm jamaa alikata utepe na mwanamke ameamua kuishi turati ya ndoa
 
Futa kwanza kauli ya hakuna mwanaume! Wanaume wapo sema wewe hela huna ni za kubangaiza za mwisho wa mwezi, pili hizo habari za mabikra kuhudumiwa labda kwa wanaume masikini ndo wana consider vitu hivyo, watu wanaolewa na watoto wameshazaa na wanahudumiwa vizuri kabisa usilazimishe watu waishi level zako bana wanaume wanaojua nini maana ya kuwa mwanaume wapo na hakuna mwanamke anatafuta pesa afu anaitumia ovyo, kama ni kwenye chakula hakuna chakula kiliwahi kufilisi yaani mawazo yako yananipa picha ya uchumi na background yako kiuchumi na malezi
 
Nakuapia dada Hakuna mwanaume akawa sirias na mgumba na mwanamke asiye bikra

Iko hivi jinsi wewe unavyochakaza ndio probability ya kuolewa na kapuku inavyoongezeka

Waangalie vizuri wanaume waliooa single mothers ni watu broke maisha yamewapiga walevi mbwa wameua wamalizie maisha pamoja

Yaani mwanaume amekosa vigezo vya kuoa A list,na mwanamke amekosa A list wa kumuoa so wanakutana wote magube gube

Au mwanaume anakuwa na magonjwa kisukari HIV anatafuta mtu wa kumtnza aneshafiwa na mke wake ndio anaamua kuokota single mothers
 
Jibu unalo tayari, unalijua, tena unalijua kabisaaa.

Unataka kutuenjoy tu hapa. Endelea kukatikiwa.
 
Aandike jina kwa laki mbili😂😂😂
 
Kama dingi lake toto liko hai litafute likupe hio box 2 hizo taratibu ziendelee, kama kashaenda zake na nyumba yake ya forever umeishuhudia haina shida kabisa mwanawane fungua moyo.
 
Wewe kama huna hela tulia, wanaume wanajua majukumu yao ni yapi kwenye jamii, mwenye hela unajua hata kama mkewe mfanyakazi, mfanyabiashara, hata haulizagi habari za kuchangia majukumu
 

Attachments

  • VID-20250330-WA0000.mp4
    5.9 MB
Nijibu kwanza haya machache kabla sijashusha comment yangu:
1. Ulikosa kabisa mwanamke ambaye hana mtoto?
2. Baba wa huyo mtoto Alisha kufa?
3. Ulipewa uthibitisho kama cheti cha kifo, ushahidi wa video za msiba, na uthibitisho wa serikali za mitaa kwamba kweli jamaa alikufa?
4. Ulishuhudia kaburi la Baba wa mtoto na hata kufukua kaburi kuhakikisha kama kweli ni yeye yumo humo?
Kama ulihakikisha yote hayo basi una haki ya kuishi na single mother.!
 
Duh..... Singo maza tena..... Vijana sijui waambiweje? Wamekuwa wazito kuelewa....
 
Andikeni jina la mtpto maan mpaka hapo yeye ndo kakunua kiwanja, we huoni aibu kuweka laki mbili yeye laki 7 kweli?

Hiyo laki mbili watu wanaihongea utamu wa dakika mbili tu wewe unapewa mbusususu kila ukitaka sasa ikitokea hulo mbele yakawashinda unajutia nini??

Kwanza inaonekana yeye ndo kakuoa.
 
Weew tafuta pesa bwana laki mbili alafu unataka kuwa shareholder weee huogopi?
 
Hufikirii ile bargain kutoka million mbili mpaka laki 9

Kutembea na madalali kukagua kiwanja je?

Acha ufeminist utazeeka bila ndoa🤔
Ni sehemu ya majukumu yako. Siku hizi chochote kile unachonunua lazima ubargain, hivyo usitumie sababu hiyo kujustify uchangiaji wako wa hicho kiasi kidogo cha hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…