Asante bossSasa laki 2 ndio upandishe kisukari... Potezea!?
Siku nyingine kiwanja cha laki 9, we sema 1.5 akisema anatoa 1.2 we ongezea 3 unakubali, akitoa 1.2, unaenda kulipa laki 9 mia 3 unaweka mfukoni, ukitumia akili vizuri, mjanaja anakuwa mshamba. Hizi mbinu za kivita mdogo wangu.. Nishatumia sana ujanani.
Unataka utushirikishe kwenye missions zako za kuzurumu mkuu?Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi
Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya madalali kadhaa kutafuta kijishamba bei ya kupoa km mnavyojua tena akili kichwani hawa watu wanajua kuchezea mifumo ya wanaume kufikiri lzm utembee km kobe full kuviziana😡
Basi buana siku ya siku nikapata chimbo mwanagati
Dalali akaanza milion mbili lkn nikashuka naye mpaka laki tisa
Narudi kwa baby nikampa feedback Yee akaweka boksi saba mimi nikaweka boksi mbili
Tukaafanya malipo fresh ikabki hatua ya kufuatilia hati miliki ila hapa ndio alinipandisha kisukari gafla buana
Hapo nilikuwa kwenye hatua ya kula tamu dushe likasinyaa gafla
Anashauri kiwanja kiandikwe jina la mtoto wake
Je nimfanyaje?
Kwa wale watu wa kubet watanielewa nikisema nimeanzisha familia na handcup
Je nikubali kiwanja kiandikwe jina la toto lake? Vipi usalama wangu kwa huyu dada
Ushaurini wenu wanandoa😭😭
Nimekuelewa boss kweli msimbe hadhaminiki😡She has allready choose side kua chake ni chake na chako ni chenu sasa wewe fanya hivi
1 Mruhusu aandike majina yake au ya mtoto wake vyovyoye anavyo taka
2. Tafuta kiwanja kingine, Nunua andika majina yako na yeye asijue
3. Tafuta mwanamke mwingine asie na mtt acha ujinga wa kujifanya u can fix what others left
Kitu handicap kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa [emoji39]
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi
Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya madalali kadhaa kutafuta kijishamba bei ya kupoa km mnavyojua tena akili kichwani hawa watu wanajua kuchezea mifumo ya wanaume kufikiri lzm utembee km kobe full kuviziana[emoji35]
Basi buana siku ya siku nikapata chimbo mwanagati
Dalali akaanza milion mbili lkn nikashuka naye mpaka laki tisa
Narudi kwa baby nikampa feedback Yee akaweka boksi saba mimi nikaweka boksi mbili
Tukaafanya malipo fresh ikabki hatua ya kufuatilia hati miliki ila hapa ndio alinipandisha kisukari gafla buana
Hapo nilikuwa kwenye hatua ya kula tamu dushe likasinyaa gafla
Anashauri kiwanja kiandikwe jina la mtoto wake
Je nimfanyaje?
Kwa wale watu wa kubet watanielewa nikisema nimeanzisha familia na handcup
Je nikubali kiwanja kiandikwe jina la toto lake? Vipi usalama wangu kwa huyu dada
Ushaurini wenu wanandoa[emoji24][emoji24]
We utakuwa umeolewa na zoba dada sio bureWewe kama huna hela tulia, wanaume wanajua majukumu yao ni yapi kwenye jamii, mwenye hela unajua hata kama mkewe mfanyakazi, mfanyabiashara, hata haulizagi habari za kuchangia majukumu
Hufikirii ile bargain kutoka million mbili mpaka laki 9Aandike tu jina la mtoto wake. Kwani si ushampenda bwana, si mke wako? Kwanza hapo kiwanja ni kama tu ni cha kwake, ye anatoa laki saba we unatoa laki mbili kama kumsapoti tu. Yaani kiufupi ye anatoa aslimia 78% we umetoa laki mbili ambayo hata smartphone hainunui, na bado unakuja huku kuomba ushauri, una akili kweli.?? Bado una upumbavu kichwani wewe
Huku unapata hicho kiwanja ila hakuna Huduma nyingi za kijamii (umeme, maji, Barabara) zaidi ya zile natural (maji ya Mto na visima & njia za kawaida) hospital unaenda umbali mrefuKiwanja kuwa laki 9 ni ajabu sana japokuwa Nanjilinji sijajua ni mkoa upi
Tatizo nyinyi huwa mpima maisha ya watz kwa kulinganisha na Dar.Mkoa upi?
Ile sio damu yangu mm nimekuta mechi ipo moja bilaYaani wewe ni mwanaume umetoa laki mbili tu, na yeye katoa laki saba? Huo uwanja hapo sio wako ni wa mkeo na mrithi wa mkeo ni mwanae sasa hapo sukari ya nini?
Kwani baba wa linaloitwa toto lake, hakumtia mimba?Bora aandike jina lake, harafu piga mimba.