Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa šŸ¤”

Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa šŸ¤”

Asante kwa ushaurini

Je wife wako pia alikuwa msimbe?
Hapana

Mkuu siku hizi ndoa zina vunjika sana watu wamekua wajanja wanajiandaa mapema kwa maslahi yao iwapo ndoa itakufa

Huyo single mother wako anawaza future ya mwanae kuliko kitu chochote kwa sasa
Ukimzalisha na ukam treat mwanae bila tofauti na mlio zaa nae ataacha hayo mawazo hasi

HAKIKISHA HAMJENGI KWENYE HICHO KIWANJA PAMOJA
NUNUA CHAKO MJENGE
 
Aandike tu jina la mtoto wake. Kwani si ushampenda bwana, si mke wako? Kwanza hapo kiwanja ni kama tu ni cha kwake, ye anatoa laki saba we unatoa laki mbili kama kumsapoti tu. Yaani kiufupi ye anatoa aslimia 78% we umetoa laki mbili ambayo hata smartphone hainunui, na bado unakuja huku kuomba ushauri, una akili kweli.?? Bado una upumbavu kichwani wewe
Mkuu inawezekana upo sahihi kabisaa
Ila lugha uliyotumia ni kali mmno šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Hata akiandika jina la meanamke haisaidii maana mwanamke atakua na mammlaka ya kubadiri jina lake kwenda kwa jina la mtoto bila pingamizi la mtu yoyote
Kama anao mpango wa kuzaa naye, nime assume kuwa mwanamke atawachukulia watoto wa tumbo lake kwa uzito sawa.
 
Wewe kama una roho ya kibaharia,mwambie Mke wangu hii ni zawadi kwa Mtoto wetu tia jina lake.
Tena tafuta pahala pazuri sana mwongezee na 200,000 za harakati za hati miliki.
Kula mzigo hiyo siku wa kutosha maisha yaendelee..mana atakuwa na furaha sana.
Achana na hicho kiwanja baada ya hapo.Akitaka kujenga kaa chonjo,...
 
We utakuwa umeolewa na zoba dada sio bure

Yaani unalipato usichangie kuendesha familia mbona nakurogašŸ¤”
Hata sio zoba, kuna wanaume wanajielewa mnoo yaan mwanamke kuchangia upende tu wewe, yaani nakuhakikishia mwanaume aliyekuwa kiakili na kiuchumi, mke wake kuchangia majukumu nyumbani ni kupenda tu, hata ukimfanyia suprise term hii nalipia ada ya mwanetu junior aaghh unapendwa mpaka basi.....mwanamke ukiwa na kipato labda ujishughulishe madiko diko nyumbani tu tena mwanaume sa zingine anakuuliza kwahiyo tumekuwa wanaume wote humu ndani unajidai kila kitu unaweza
 
Kinachoshangaza wanaume na wanawake wote humu wanamtetea single mom

Mbona wanawake tukiwaoa wanatukuta tayari tuna mali na bado kwenye talaka wanataka pasu kwa pasu?

Kweli miaka hii adui ya mwanaume ni mwanaume mwenzake na mwanamke

Simps ni wapumbavu sana
​
 
A Red flag!

Kama ni Mimi sibishani nae, ila akae akijua kuanzia hapo nafanya mambo yangu kisiri Siri bila kumshirikisha.

Mwanamke wa dizaini hiyo anakuchukulia we ni Kipizeo chake Cha maisha, kimjini mjini nenda nae anavyotaka mara mbili yake ili wakati anahisi yupo kwako kukuchuna wewe ndio umchune mara mbili ili mwisho wa siku aje ajutie kauli zake na matendo yake pia.
 
Hata sio zoba, kuna wanaume wanajielewa mnoo yaan mwanamke kuchangia upende tu wewe, yaani nakuhakikishia mwanaume aliyekuwa kiakili na kiuchumi, mke wake kuchangia majukumu nyumbani ni kupenda tu, hata ukimfanyia suprise term hii nalipia ada ya mwanetu junior aaghh unapendwa mpaka basi.....mwanamke ukiwa na kipato labda ujishughulishe madiko diko nyumbani tu tena mwanaume sa zingine anakuuliza kwahiyo tumekuwa wanaume wote humu ndani unajidai kila kitu unaweza
Hakuna mwanaume wa hivyo duniani
Hivyo kidogo anaweza akafanyiwa mwanamke bikra tu tena miaka ya kwanza ya ndoa

We nimekukuta umemwagiwa lita 78 za nyege afu nikuhandle km malaika 🤣🤣🤣

Wewe dada utakuta na wewe ni msimbe unaugulia maumivu 😁
 
A Red flag!

Kama ni Mimi sibishani nae, ila akae akijua kuanzia hapo nafanya mambo yangu kisiri Siri bila kumshirikisha.

Mwanamke wa dizaini hiyo anakuchukulia we ni Kipizeo chake Cha maisha, kimjini mjini nenda nae anavyotaka mara mbili yake ili wakati anahisi yupo kwako kukuchuna wewe ndio umchune mara mbili ili mwisho wa siku aje ajutie kauli zake na matendo yake pia.
Ila wanawake buana wanafurahisha apo kaona kaweka msimamo kumbe anajichimbia shimo😁

Kwasababu naweza nikaset njia iyo laki mbili ikazaa million kwa pesa zake mwenyewe
 
Hicho kiwanja ni Mali yake wewe umemchangia laki mbili tu Hela ambayo naamini anaweza kurudisha kama tutahitaji. Hakuna kitu hao watu hujali kama watoto wao yaani ukitaka Raha ya ndoa mpende mwanae na ukitaka chungu ya ndoa msimange mtoto utakipata. Sasa naona unaita toto lake hiyo ni ishara kuwa humpendi huyo mtoto hivyo ndoa imeshakushinda. Kama unataka kiwanja kiwe Kwa jina lako mrudishie Hela yake yote aliyotoa na kiwanja kitakua Mali Yako na watoto mtakao zaa lakini Kwa mazingira hayo muache shem amwandike mtoto.
Single mother ni watamu Ila si wa kuoa ni hit & run faster
 
Hakuna mwanaume wa hivyo duniani
Hivyo kidogo anaweza akafanyiwa mwanamke bikra tu tena miaka ya kwanza ya ndoa

We nimekukuta umemwagiwa lita 78 za nyege afu nikuhandle km malaika 🤣🤣🤣

Wewe dada utakuta na wewe ni msimbe unaugulia maumivu 😁
Yaani nyie ndio wale mkisimuliwa vitu ambavyo hamjawahi ona hamuwezi amini, mtu akisema anapata amount of money ambayo hujawahi ikamata unaona anakupiga, kuna watu wanaishi kwenye ndoa acha kulazimisha watu waishi kwa level zako tafuta hela hayo yote utayaona ya kawaida ndio utapunguza hasira juu ya maisha ya watu kuhisi vitu vya ajabu ajabu unafikiri kama umelelewa na msimbe ni wote wasimbe? Nakupa pole
 
Hicho kiwanja ni Mali yake wewe umemchangia laki mbili tu Hela ambayo naamini anaweza kurudisha kama tutahitaji. Hakuna kitu hao watu hujali kama watoto wao yaani ukitaka Raha ya ndoa mpende mwanae na ukitaka chungu ya ndoa msimange mtoto utakipata. Sasa naona unaita toto lake hiyo ni ishara kuwa humpendi huyo mtoto hivyo ndoa imeshakushinda. Kama unataka kiwanja kiwe Kwa jina lako mrudishie Hela yake yote aliyotoa na kiwanja kitakua Mali Yako na watoto mtakao zaa lakini Kwa mazingira hayo muache shem amwandike mtoto.
Ata kama kaweka 2kilos je akianza kuweka fedha kwenye ujenzi. Mwamba huo ni mtego, anatafuta security ya mwanae.
 
Back
Top Bottom