Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa 🤔

Yaani wewe ni mwanaume umetoa laki mbili tu, na yeye katoa laki saba? Huo uwanja hapo sio wako ni wa mkeo na mrithi wa mkeo ni mwanae sasa hapo sukari ya nini?
 
Asante boss

Ila nilikuwa namuweka kwenye rada aniamini kwanza kwasababu ana chambi chambi za apa na pale 😁
 
Unataka utushirikishe kwenye missions zako za kuzurumu mkuu?
 
Nimekuelewa boss kweli msimbe hadhaminiki😡
 
Mwisho wa mwanaume ni kama simba dume, utakuwa mwenyewe, jijali wewe kwanza.
 
Kitu handicap kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yupo sahihi. Wazo la kwake na yeye ndo katoa pesa ndefu. Next time katafute kiwanja chako mwenyewe na pesa ya kwako.
 
Wewe kama huna hela tulia, wanaume wanajua majukumu yao ni yapi kwenye jamii, mwenye hela unajua hata kama mkewe mfanyakazi, mfanyabiashara, hata haulizagi habari za kuchangia majukumu
We utakuwa umeolewa na zoba dada sio bure

Yaani unalipato usichangie kuendesha familia mbona nakuroga🤔
 
Hufikirii ile bargain kutoka million mbili mpaka laki 9

Kutembea na madalali kukagua kiwanja je?

Acha ufeminist utazeeka bila ndoa🤔
 
Kiwanja kuwa laki 9 ni ajabu sana japokuwa Nanjilinji sijajua ni mkoa upi
Huku unapata hicho kiwanja ila hakuna Huduma nyingi za kijamii (umeme, maji, Barabara) zaidi ya zile natural (maji ya Mto na visima & njia za kawaida) hospital unaenda umbali mrefu
 
Laki 2 Kwa laki 7 Kweli? Basi wewe tafuta kingine hicho usiguse hata panga lakufyekea usinunue mwachie aliyenunua wewe ulipewa heshima yakusaidia kutafuta tu.
 
Mkoa upi?
Tatizo nyinyi huwa mpima maisha ya watz kwa kulinganisha na Dar.

Mikoani ukiachana kwenye manispaa ukienda kwenye miji midogo midogo viwanja ni bei ndogo sana kiwanja cha milion 1 ni kikubwa.
 
Umependa boga penda na ua lake,
Ukitaka kuiteka akili ya single mama hadi ukweni wekeza kwa mwanae atamsahau hadi baba watoto wake atakupa wewe,but at your own risk, mtoto akishapata kazi yake jiandae kuitwa mbwa
 
Yaani wewe ni mwanaume umetoa laki mbili tu, na yeye katoa laki saba? Huo uwanja hapo sio wako ni wa mkeo na mrithi wa mkeo ni mwanae sasa hapo sukari ya nini?
Ile sio damu yangu mm nimekuta mechi ipo moja bila
 
Inaonekana unapenda dezo,yaani hapo mlinunua kiwanja au ulimchangia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…