HapanaAsante kwa ushaurini
Je wife wako pia alikuwa msimbe?
Mkuu inawezekana upo sahihi kabisaaAandike tu jina la mtoto wake. Kwani si ushampenda bwana, si mke wako? Kwanza hapo kiwanja ni kama tu ni cha kwake, ye anatoa laki saba we unatoa laki mbili kama kumsapoti tu. Yaani kiufupi ye anatoa aslimia 78% we umetoa laki mbili ambayo hata smartphone hainunui, na bado unakuja huku kuomba ushauri, una akili kweli.?? Bado una upumbavu kichwani wewe
Nakazia hapaπΏUmeshajichanganya, subiri ndoa kuvunjika tu
Kama anao mpango wa kuzaa naye, nime assume kuwa mwanamke atawachukulia watoto wa tumbo lake kwa uzito sawa.Hata akiandika jina la meanamke haisaidii maana mwanamke atakua na mammlaka ya kubadiri jina lake kwenda kwa jina la mtoto bila pingamizi la mtu yoyote
Daaah basi sawaNdio dada mzuri ππ
Khanji kapigwa kote kote700,000
vs
200,000
Hata sio zoba, kuna wanaume wanajielewa mnoo yaan mwanamke kuchangia upende tu wewe, yaani nakuhakikishia mwanaume aliyekuwa kiakili na kiuchumi, mke wake kuchangia majukumu nyumbani ni kupenda tu, hata ukimfanyia suprise term hii nalipia ada ya mwanetu junior aaghh unapendwa mpaka basi.....mwanamke ukiwa na kipato labda ujishughulishe madiko diko nyumbani tu tena mwanaume sa zingine anakuuliza kwahiyo tumekuwa wanaume wote humu ndani unajidai kila kitu unawezaWe utakuwa umeolewa na zoba dada sio bure
Yaani unalipato usichangie kuendesha familia mbona nakurogaπ€
Unataka kumtapeli au kulelewa?Asante boss
Ila nilikuwa namuweka kwenye rada aniamini kwanza kwasababu ana chambi chambi za apa na pale π
Hakuna mwanaume wa hivyo dunianiHata sio zoba, kuna wanaume wanajielewa mnoo yaan mwanamke kuchangia upende tu wewe, yaani nakuhakikishia mwanaume aliyekuwa kiakili na kiuchumi, mke wake kuchangia majukumu nyumbani ni kupenda tu, hata ukimfanyia suprise term hii nalipia ada ya mwanetu junior aaghh unapendwa mpaka basi.....mwanamke ukiwa na kipato labda ujishughulishe madiko diko nyumbani tu tena mwanaume sa zingine anakuuliza kwahiyo tumekuwa wanaume wote humu ndani unajidai kila kitu unaweza
Kiasili siwez kumtapeli mtu dhaifu kwangu (wanawake na watoto ni watu dhaifu sijawahi na sitawahiUnataka kumtapeli au kulelewa?
Ila wanawake buana wanafurahisha apo kaona kaweka msimamo kumbe anajichimbia shimoπA Red flag!
Kama ni Mimi sibishani nae, ila akae akijua kuanzia hapo nafanya mambo yangu kisiri Siri bila kumshirikisha.
Mwanamke wa dizaini hiyo anakuchukulia we ni Kipizeo chake Cha maisha, kimjini mjini nenda nae anavyotaka mara mbili yake ili wakati anahisi yupo kwako kukuchuna wewe ndio umchune mara mbili ili mwisho wa siku aje ajutie kauli zake na matendo yake pia.
Single mother ni watamu Ila si wa kuoa ni hit & run fasterHicho kiwanja ni Mali yake wewe umemchangia laki mbili tu Hela ambayo naamini anaweza kurudisha kama tutahitaji. Hakuna kitu hao watu hujali kama watoto wao yaani ukitaka Raha ya ndoa mpende mwanae na ukitaka chungu ya ndoa msimange mtoto utakipata. Sasa naona unaita toto lake hiyo ni ishara kuwa humpendi huyo mtoto hivyo ndoa imeshakushinda. Kama unataka kiwanja kiwe Kwa jina lako mrudishie Hela yake yote aliyotoa na kiwanja kitakua Mali Yako na watoto mtakao zaa lakini Kwa mazingira hayo muache shem amwandike mtoto.
Yaani nyie ndio wale mkisimuliwa vitu ambavyo hamjawahi ona hamuwezi amini, mtu akisema anapata amount of money ambayo hujawahi ikamata unaona anakupiga, kuna watu wanaishi kwenye ndoa acha kulazimisha watu waishi kwa level zako tafuta hela hayo yote utayaona ya kawaida ndio utapunguza hasira juu ya maisha ya watu kuhisi vitu vya ajabu ajabu unafikiri kama umelelewa na msimbe ni wote wasimbe? Nakupa poleHakuna mwanaume wa hivyo duniani
Hivyo kidogo anaweza akafanyiwa mwanamke bikra tu tena miaka ya kwanza ya ndoa
We nimekukuta umemwagiwa lita 78 za nyege afu nikuhandle km malaika π€£π€£π€£
Wewe dada utakuta na wewe ni msimbe unaugulia maumivu π
Ata kama kaweka 2kilos je akianza kuweka fedha kwenye ujenzi. Mwamba huo ni mtego, anatafuta security ya mwanae.Hicho kiwanja ni Mali yake wewe umemchangia laki mbili tu Hela ambayo naamini anaweza kurudisha kama tutahitaji. Hakuna kitu hao watu hujali kama watoto wao yaani ukitaka Raha ya ndoa mpende mwanae na ukitaka chungu ya ndoa msimange mtoto utakipata. Sasa naona unaita toto lake hiyo ni ishara kuwa humpendi huyo mtoto hivyo ndoa imeshakushinda. Kama unataka kiwanja kiwe Kwa jina lako mrudishie Hela yake yote aliyotoa na kiwanja kitakua Mali Yako na watoto mtakao zaa lakini Kwa mazingira hayo muache shem amwandike mtoto.