Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

we jamaa kulikoni unamshushia matusi mazito kigagula wetu mpendwa, mjuaji wa kukwepa maswali?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Dah! Nilitaka nimwage mada kumbe ni wewe πŸ˜…
 
MADA : Wanandoa wengi hupigana kwa sababu si wa karibu.

Katika ndoa mnapokosa ukaribu, hamuwezi kuwa marafiki japo mnaishi pamoja kama wanandoa.

Ukaribu ni mtindo wa maisha, ukaribu ni pale WAWILI wanapokuwa WAMOJA katika kila jambo. Wao ni kama oksijeni ya kila mmoja .

Tujadili
 
Hapo kwenye mlo Sasa?hivi Kwa ulaji wetu wa bongo ugali maharage na dagaa mchele Kuna kufika climax kweli?au ndio Bora liende??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tayari bibie kakiwasha kisha amekimbia mjadala, kaingia mitini. Hana uwezo wa kujibu maswali mengi, kashiba futari muacheni apumzike
 
It begins with you.

Be that woman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…