Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Pumbavu. Huna cha kufanya. Una matatizo ya akili. Nenda katibiwe. Pumbavu sana. Pumbavu. Wewe ni mpumbavu kati ya wapumbavu wote duniani wanaowaza mambo ya kipumbavu. No wonder hua na ugomvi na kila mtu, kwaio umekalisha kinembeh huko umeboeka ukaona uje utafute ugomvi. Mzee wako atakua hakukazi vizuri ndio mana unakuja kutafuta ugomvi wa lazima humu. [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji867]
we jamaa kulikoni unamshushia matusi mazito kigagula wetu mpendwa, mjuaji wa kukwepa maswali?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Dah! Nilitaka nimwage mada kumbe ni wewe 😅
 
MADA : Wanandoa wengi hupigana kwa sababu si wa karibu.

Katika ndoa mnapokosa ukaribu, hamuwezi kuwa marafiki japo mnaishi pamoja kama wanandoa.

Ukaribu ni mtindo wa maisha, ukaribu ni pale WAWILI wanapokuwa WAMOJA katika kila jambo. Wao ni kama oksijeni ya kila mmoja .

Tujadili
 
Kama mwanamke hafikii climax kwa muda unaokubalika kikawaida, kuna uwezakano wa kuwa na mojawapo au zaidi ya matatizo mengi.

Binafsi naamini kama hujajiweka kwa kujitayarisha kwenye "sexuality" kisaikolojia ni tatizo kubwa.

Lakini kuna mengi sana; usafi, mlo, afya, matayarisho, lakini muhimu zaidi ni kujitambuwa na saikolojia.
Hapo kwenye mlo Sasa?hivi Kwa ulaji wetu wa bongo ugali maharage na dagaa mchele Kuna kufika climax kweli?au ndio Bora liende??
 
Pumbavu. Huna cha kufanya. Una matatizo ya akili. Nenda katibiwe. Pumbavu sana. Pumbavu. Wewe ni mpumbavu kati ya wapumbavu wote duniani wanaowaza mambo ya kipumbavu. No wonder hua na ugomvi na kila mtu, kwaio umekalisha kinembeh huko umeboeka ukaona uje utafute ugomvi. Mzee wako atakua hakukazi vizuri ndio mana unakuja kutafuta ugomvi wa lazima humu. [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji867]
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Tayari bibie kakiwasha kisha amekimbia mjadala, kaingia mitini. Hana uwezo wa kujibu maswali mengi, kashiba futari muacheni apumzike
 
MADA: CHANGAMOTO YA WANAWAKE KUKOSA KUJIAMINI.
Wanawake tumekua na changamoto ya uoga na kutojiamini ni kitu kama nature...
Kwenye masuala ya muhimu katika jamii
Mfano hapa jf mada karibia zote za muhimu zinazofundisha, zinazoishi kila siku zimeanzishwa na wanaume

Siamini kama wanawake wa humu hatuna mada za madini za kuanzisha kuleta manufaa kwa wengine.

Nini kifanyike kuondokana na changamoto hii katika jamii japo hapa nimetolea mfano kwa wanawake wa jf lakini hili tatizo lipo katika jamii yote.

Tufanye nini kutatua au tuache kama ilivyo liwe suala la nature na tukubaliane nalo?
It begins with you.

Be that woman.
 
Back
Top Bottom