Unataka nijinasibu kutokuwa na dini wakati nna dini na nnajivunia Uislam wangu?Mbona unapenda kujinasibu kwa dini yako, huoni kuwa we ni mdini na udini katika nchi hii hautakiwi ila kuna uhuru wa kuabudu ?
""Wadau wanasema unazeeka vibaya""Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Money , power, respectMADA: CHANGAMOTO YA WANAWAKE KUKOSA KUJIAMINI.
Wanawake tumekua na changamoto ya uoga na kutojiamini ni kitu kama nature...
Kwenye masuala ya muhimu katika jamii
Mfano hapa jf mada karibia zote za muhimu zinazofundisha, zinazoishi kila siku zimeanzishwa na wanaume
Siamini kama wanawake wa humu hatuna mada za madini za kuanzisha kuleta manufaa kwa wengine.
Nini kifanyike kuondokana na changamoto hii katika jamii japo hapa nimetolea mfano kwa wanawake wa jf lakini hili tatizo lipo katika jamii yote.
Tufanye nini kutatua au tuache kama ilivyo liwe suala la nature na tukubaliane nalo?
Mkuu,Katika JF member ambao ni vilaza uyo bibi yuko top ten.
umevuta bangi ya majani au ya mbegumbeguKama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
VimefanyajeMoney , power, respect
Hapo chacha!It begins with you.
Be that woman.
Bitch can’t hang with me and she knows it.
You are easy work. Easy money.Hang with a lunatic fag?
No way.
Kwanini uislamu ni dini ya chuki, uadui na ubaguzi? Na Kwanini uislamu unataka wafuasi au waumini wawe mandondocha wa akili, kwanini uislamu unahimiza dhiki na ubwete ?Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Duh 🙄, Sikutegemea kama utakuwa na chuki mbaya na kejeli kama hii kwa Imani ambayo huiamini, Kaa kwenye nafasi yako na Imani yako. Kwanini unaibuka na kuandika vitu vyenye kukwaza watu wenye Imani Yao ?
You can’t come up with a new insult?I am not into fag talk.
VyoteMada ni nini hapo?
Makosa au Serikali au Dini au wanafunzi au shule?
Hili ni taifa la wapagani, atheists na wenye dini mbalimbali, vifungu vya biblia havihusikia kutoa muongozo wa kitaifa.Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.