FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #121
Unataka nijinasibu kutokuwa na dini wakati nna dini na nnajivunia Uislam wangu?Mbona unapenda kujinasibu kwa dini yako, huoni kuwa we ni mdini na udini katika nchi hii hautakiwi ila kuna uhuru wa kuabudu ?
Kama serikali haina dini, raia zake tuna dini na katiba inatambuwa hilo.