Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Mbona unapenda kujinasibu kwa dini yako, huoni kuwa we ni mdini na udini katika nchi hii hautakiwi ila kuna uhuru wa kuabudu ?
Unataka nijinasibu kutokuwa na dini wakati nna dini na nnajivunia Uislam wangu?

Kama serikali haina dini, raia zake tuna dini na katiba inatambuwa hilo.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
""Wadau wanasema unazeeka vibaya""
Naomba tuanze kulumbana wewe uwe opposition side 😊😊😊
 
MADA: CHANGAMOTO YA WANAWAKE KUKOSA KUJIAMINI.
Wanawake tumekua na changamoto ya uoga na kutojiamini ni kitu kama nature...
Kwenye masuala ya muhimu katika jamii
Mfano hapa jf mada karibia zote za muhimu zinazofundisha, zinazoishi kila siku zimeanzishwa na wanaume

Siamini kama wanawake wa humu hatuna mada za madini za kuanzisha kuleta manufaa kwa wengine.

Nini kifanyike kuondokana na changamoto hii katika jamii japo hapa nimetolea mfano kwa wanawake wa jf lakini hili tatizo lipo katika jamii yote.

Tufanye nini kutatua au tuache kama ilivyo liwe suala la nature na tukubaliane nalo?
Money , power, respect
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
umevuta bangi ya majani au ya mbegumbegu
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Kwanini uislamu ni dini ya chuki, uadui na ubaguzi? Na Kwanini uislamu unataka wafuasi au waumini wawe mandondocha wa akili, kwanini uislamu unahimiza dhiki na ubwete ?
 
Here we go again,nishakwambia tangu zamani tusipangiane cha kukoment. Mbona hio mada haina kejeli bali ni swali na hata mashehe huwa wanagusia suala hilo.

Ukiona unataka uonekane mzuri kwa kila mtu ujue umeanza Maisha ya Kinafki
Duh 🙄, Sikutegemea kama utakuwa na chuki mbaya na kejeli kama hii kwa Imani ambayo huiamini, Kaa kwenye nafasi yako na Imani yako. Kwanini unaibuka na kuandika vitu vyenye kukwaza watu wenye Imani Yao ?
 
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
Hili ni taifa la wapagani, atheists na wenye dini mbalimbali, vifungu vya biblia havihusikia kutoa muongozo wa kitaifa.
 
Back
Top Bottom