Malpighian
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 232
- 305
- Thread starter
-
- #61
Matendo ya Mitume 2:38 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.Wewe unaandiko la wao kubatizwa KWA majina ya kina nani?
Pia inamaanisha walimgomea Yesu kubatizwa KWA AGIZO hilo au ?
Hela ipo mkuu..sijapata bado mtu aliyejibu kwa usahihiMwenyewe katangaza dau la mil 5. humu ndani watu wanashuka tu na maandiko, sasa sijui kama mtoa mada anazo hizo mil 5 za kugawa burebure hivi... Bando ni shida
Kwahiyo mitume wakaona wachague kwa jina la Yesu nawakati boss wao aliwaambia kwa jina la Baba, Mwana na Roho. Asante kwa kushiriki mkuuKwa Jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu = Katika Jina la Yesu...!
Chagua tu kile mdomo wako utakua rahisi kutamka
Weka 5milion kwenye escrow account nikupe scripture nikianza Yesu pale Jordan halafu nikimalizia na alieagiza watu wabatizweHabari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Hii ni hoja dhaifu mkuu... Amini kila neno lililosemwa katika biblia...utaokoka.Mambo ya dini ni mengi na very complicated.. Ukiweza amini unachoweza kuamini baasi
Yani kama Hujaelewa Kwa Maelezo yangu mafupi utakua Mbishi Mkuu.Kwahiyo mitume wakaona wachague kwa jina la Yesu nawakati boss wao aliwaambia kwa jina la Baba, Mwana na Roho. Asante kwa kushiriki mkuu
Naitafuta nafsi iliyopotea mkuuHii itakusaidia nini? unataka kuachieve nini?Hiyo milioni 5 kama inakuwasha,saidia yatima itapata thawabu
Hapana mkuuKwani wewe ni shindii
Kama haukubaliani na mitume. Nenda kwenye biblia yako unayoiamini, ondoa vitabu vyote vilivyoandikwa na mitume ubakiwe na Yesu tuu mkuu. Siwezi kujibu maelezo yako uliyomezeshwa mkuuNinahisi Mtoa mada anafuata mafundisho ya “Jesus Only” au "Oneness Pentecostals", ambao wanaamini kwamba ubatizo unapaswa kufanywa kwa jina la Yesu tu. Sababu kuu wanayoitoa ni kwamba katika Biblia hatusomi popote kuhusu mtu au watu waliobatizwa kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.
Ni kweli hakuna andiko linaloonyesha kwamba mitume walibatiza kwa Jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Lakini je, mitume walikuwa wakamilifu kiasi kwamba tufuate kila walichofanya? La hasha. Mitume, walikuwa wanadamu walioweza kukosea. Hivyo sio kila walilofanya ni mfano wa kuigwa.
Angalia hapa baadhi ya makosa yaliyofanywa na mitume:
Petro alijitenga na Mataifa waliomwamini Kristo - Paulo akamkemea vikali kuwa ni mnafiki (Wagalatia 2:11–14).
Kumbuka tena Petro alitaka Yesu asife msalabani. Yesu alisema lazima afe, Petro akamkataza. Yesu akamkemea: “Rudi nyuma yangu, Shetani...” (Mathayo 16:22–23).
Yakobo na Yohana walitaka kushusha moto juu ya Wasamaria. Yesu akawakemea kwa kuwaambia: “Hamtambui ni roho ya namna gani mliyo nayo” (Luka 9:54–55).
Mitume walipigania vyeo badala ya utumishi. Waliulizana ni nani mkubwa kuliko wote. Yesu akawafundisha kuwa mkuu ni yule anayehudumu (Luka 22:24–26).
Tomaso alikataa kuamini kwamba Yesu amefufuka mpaka aone kwa macho. Alisema: “Nisipoona zile alama za misumari mikononi mwake, na kuweka kidole changu kwenye hizo alama za misumari, na mkono wangu ubavuni mwake, sitaamini.” (Yohana 20:25). Yesu alimkemea: “...usiwe asiyeamini, bali aaminiye” (Yohana 20:27).
Yuda Iskariote ingawa alikuwa miongoni mwa mitume 12, alitenda kinyume kabisa na mapenzi ya Mungu kwa kumsaliti Yesu.
Mitume walikosea kuhusu huduma kwa Mataifa mwanzoni, hadi baadaye Petro alipopewa ufunuo (Matendo 10).
Hata mtume Paulo, tunayesoma kuwa alijaa ufunuo mkuu, alifanya makosa ya kibinadamu. Mojawapo ya makosa aliyoyafanya ni kugombana vikali na Barnaba hadi wakatengana!(Matendo 15:36–40).
Kwa mifano hiyo, msisitizo sio kuiga walichofanya mitume, bali agizo la Yesu mwenyewe. Yesu alisema:
“Kwanini mnaniita Bwana, Bwana, lakini hamtendi ninayowaambia?”(Luka 6:46). Mojawapo ya mambo aliyotuambia Yesu tufanye ni hili lihusulo ubatizo:
“Mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.”(Mathayo 28:19).
Hilo ni agizo la moja kwa moja kutoka kwa Yesu mwenyewe kabla ya kupaa mbinguni. Linapaswa kutekelezwa kwa utiifu, bila kupunguzwa wala kubadilishwa, hata kama mitume hawakufanya hivyo.
Yesu Kristo ni Mungu. Na ndiye Bwana na Mwokozi wetu. Hivyo agizo lake ndilo linalobeba uzito wa mwisho. Kwahiyo ubatizo wa kweli ni ule unaotii agizo la Yesu.
Soma uzi huu upate mafundisho ya kina zaidi kuhusu ubatizo wa kweli.
Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo
Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...www.jamiiforums.com
cc: patrickk
Yani kama Hujaelewa Kwa Maelezo yangu mafupi utakua Mbishi Mkuu.
Luka 20:4-7, 4 Ubatizo wa Yohana, je! Ulitoka mbinguni au kwa wanadamu? 5 Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, Kama tukisema ulitoka mbinguni, atasema, Basi, mbona hamkumwamini? 6 Na tukisema ulitoka kwa wanadamu, watu wote watatupiga kwa mawe, kwa kuwa wamemkubali Yohana kuwa ni nabii.Habari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Huku ni kuchanganyikiwa hizo Milion tano unazoahidi katoe sadaka kwa Wanawake wajane na Yatima. Sio Kuja kutuletea ushamba wako humu.Habari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Hata Yuda alipoona Mwanamke kahaba akimpaka Yesu mafuta ya gharama alikuja na hoja kama yako mkuu..Rudi nyuma ee shetaniHuku ni kuchanganyikiwa hizo Milion tano unazoahidi katoe sadaka kwa Wanawake wajane na Yatima. Sio Kuja kutuletea ushamba wako humu.
Fu******** off 👹
Tatizo lako unachukulia Biblia kama hadithi. Biblia ni kitabu kilichoandikwa ktk level ya juu sana. Huwezi kuelewa baadhi ya mistari hadi Roho Mtakatifu akuongoze. Mathalan Yesu alipowaelekeza wanafunzi wake wakabatize katika Jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu "Mathayo 28:19", Na Patro alipohubiri akawaambia watubu na kubatizwa katika jina la Yesu Kristo "Matendo 2:38". Mistari hiyo haigongani. Ngoja nikufafanulie:Habari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Nimejifunza darasani mambo ya dini kwa miaka 6 ninajua nisemachoHii ni hoja dhaifu mkuu... Amini kila neno lililosemwa katika biblia...utaokoka.
Nionyeshe katika biblia yako unayosoma ni kifungu gani kimesema Mungu ana nafsi tatuTatizo lako unachukulia Biblia kama hadithi. Biblia ni kitabu kilichoandikwa ktk level ya juu sana. Huwezi kuelewa baadhi ya mistari hadi Roho Mtakatifu akuongoze. Mathalan Yesu alipowaelekeza wanafunzi wake wakabatize katika Jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu "Mathayo 28:19", Na Patro alipohubiri akawaambia watubu na kubatizwa katika jina la Yesu Kristo "Matendo 2:38". Mistari hiyo haigongani. Ngoja nikufafanulie:
Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu sio jina bali ni nafasi. Mungu ana nafasi tatu (Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa hiyo maelekezo ya Yesu ni kubatiza katika Jina la Mungu yaani Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Sasa jina la Mungu ni lipi? Mungu ana majina mengi yaliyofunuliwa ktk Agano la Kale. Lakini ktk Agano jipya wanadamu wamepewa jina moja tu nalo ni
Jina la YESU KRISTO. Soma Wafilipi 2: 5-11 na Matendo 4:12. Hakuna jina lingine tulilopewa ni Yesu Kristo ndilo jina la Mungu. Ndio maana sisi Wakristo tunakiri ya kwamba YESU NI MUNGU. Ukibisha shauri yako utakuja kujikuta Jehanamu!
Nimejifunza darasani mambo ya dini kwa miaka 6 ninajua nisemacho
OK basi sawa 🙏🏿Na hilo ndio tatizo mkuu. Niamini mimi
Toa Upumbavu wako basi Mkuu 🤣Hata Yuda alipoona Mwanamke kahaba akimpaka Yesu mafuta ya gharama alikuja na hoja kama yako mkuu..Rudi nyuma ee shetani