Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

Nafarijika kusoma nondo za wasema ukweli siyo vizabinazabina. Utashangaa 2025 hao hao akina Tundu Lissu watajifungamanisha na JPM ili wachukue nchi kiulaini.

nchi hii huwa na maajabu. Nyerere aliijenga, mzee ruksa akaiharibu; Mkapa akaijenga, Kikwete akaiharibu; Magufuli akaijenga, inaonesha mama ataiharibu; ila baada ya mama kutakuja konki wa kuijenga tu
 
Hata Uganda , majority wanamuongelea JPM positively wanasema kama angekuwa kwao wangefaidi sana.
Walitoa pole sana kwa kifo chake, wanadai waTz wamehujumiwa.
 
Hata nyerere juzi nilikuwa boko mnemela bado wanamuulizia
 
Watu walifatwa sana majumbani kukamatwa kisa umemkosoa. Nyie wapambe mkiona comment ya kumkosoa mnatuhumu ni mabeberu wanamtumia mkosoaji - (hii ni mbinu iliyotumika kuficha maovu yake)

Deni la taifa limeongezeka maradufu kipindi chake lakini kila siku alidanganya kuwa ni fedha za ndani.

Pengine hata idi amini alikuwa afadhali.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kachome chanjo urelax naona msongo wa mawazo ya tozo ya muamala
 
SO🤷🤷??
 
So hawajui kama anaoza?
 
Unasema: anakubalika vibaya mno!
Wewe unaona kukubalika vibaya mno! Ndio sifa ya kupendwa?
 
Jiwe lilipumuzika baada ya kusaga.
La kwa Mungu tulitoka tutarudi Tena huko.
 
That’s according to your points of view, but all in all, whom you define as chosen ones are also no longer existing in this world, when I speak of immortality, initially I don’t mean physically but Ideological kind of immortality. Just imagine mpaka leo watu wanamzungumzia Nyerere, Karume, Makavelli and now Magufuli conjoined with the legends.

Not everything in this world is religious oriented, imani ndio chanzo cha yote, mi naamini Magu ni immortal. Mind your faith.
 

waislam mpaka leo wanauliza kama Yesu alikufa akafufuka we unaongea nn dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…