Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

Watu bado wanaendelea kuwazungumzia akina Adolf Hitler, Iddi Amin kwa hiyo kwa mtazamo wako kwa kuwa wanazungumziwa nao ni immortals
 
Ungewaambia alikufa kwa ujeuri wake!
 
Hata hapa nje ya JF Magufuli ni masiha. Subiri mwaka mmoja upite, wote michadema itamgeukia. Vuta subra mkuu
Masiha wa Lumumba, hata kangi Lugola alupata kunena hivyo.
 
Ni uongo na hamna kitu Kama hicho waislamu wanaamini kwamba alikuwepo nabii ISSA .

alafu akafa akafufuka ama bado hatupo pamoja? Naheshimu Dini za watu wengine na nisingependa iwe mjadala mkubwa bali mfano hai tu wa swala hili, kuendeleza mjadala wa dini iwe kwako mwenyewe
 
Waambia nasi tunajivunia sana maisha yake.Hakika alikuwa shujaa wa Afrika na nembo ya Utawala bora na Ushupavu.
 
JPM alikua Kiongozi mfano wa kuigwa nchi nyingi Afrika walituonea gere
 
Ni haki yako

Waeleze hawa wapuuzi kama Sexer ambao bado akili zipo gizani! JPM alikuwa jembe kweli kweli. Huo ndiyo ukweli mkuu
Alikuwa Jembe sawa make tunachomeka mpini pale kwenye tundu, lakini hakuwa masiha labda masiha wa Lumumba, umesikia we pimbi
 
Tumepoteza hazina kubwa sana kama Taifa. Hata wanaopinga kimoyomoyo wanakubali. Hakuna mwanadamu aliekamilika kila mtu ana mapungufu yake ila JPM tumepoteza jembe.
 
JPM 4 forever

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…